Kuna umuhimu Mkubwa wa kuwa na ndoto kubwa sana

Unapambana vip kwani kuna binadamu ambaye hapambani😅😅Acha motivanal quotes, binadamu hana haja ya kuambiwa kujipambania ni jambo lipo automatically ...

I can agree with you, lakini kuna kupambana kuweka ugali mezani tu na hii ni watu wangu wa karibu wengi wako hivi. Halafu kuna kupambana to it make big, lazima usikate tamaa au kuridhika haraka. Kwangu mimi mapambano ni kujituma na kubadilisha hali ya uchumi kwenu
 
Ha

Hata uwe na ndoto kubwa ni lazima uzipiganie
 
Huko ni kujichosha akili nzuri uwe tu na ndoto zinazowezekana kuzifikia
 
Back
Top Bottom