Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Hayo mambo ndo mnakalia nyie masikini wa akili.Hakuna ndoto ni bahati au mtu kapangiwa .
Sisi watu wa jihad ,tunakufa shahidi ndio lengo😅Hayo mambo ndo mnakalia nyie masikini wa akili.
Bahati inakujaje bila kuwa na maono makubwa na kujituma.
Wajinga ndo wanaamini katika hayo mambo ya bahati .
Hakuna ndoto ni bahati au mtu kapangiwa .
Unapambana vip kwani kuna binadamu ambaye hapambani😅😅Acha motivanal quotes, binadamu hana haja ya kuambiwa kujipambania ni jambo lipo automatically ...Haya mambo ya bahati yasikucheleweshe mzee, lazima kujituma bila uoga ndio kieleweke.
Tuunge juhudi za Mr. Dennis Robert Shughuru za kuwa RaisNi nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out
In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
Maisha ya diamond yana-inspired sanaNi nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out
In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
Unapambana vip kwani kuna binadamu ambaye hapambani😅😅Acha motivanal quotes, binadamu hana haja ya kuambiwa kujipambania ni jambo lipo automatically ...
Hata uwe na ndoto kubwa ni lazima uzipiganieI can agree with you, lakini kuna kupambana kuweka ugali mezani tu na hii ni watu wangu wa karibu wengi wako hivi. Halafu kuna kupambana to it make big, lazima usikate tamaa au kuridhika haraka. Kwangu mimi mapambano ni kujituma na kubadilisha hali ya uchumi kwenu
Ha
Hata uwe na ndoto kubwa ni lazima uzipiganie
Msio na elimu mna shida sanaKufanikiwa ni maujanja Tu sio lazima elimu