Kuna umuhimu Mkubwa wa kuwa na ndoto kubwa sana

Labda fundi gareji Na bado mnakuja kununua vipuri kwenye maduka yetu.

"Kufanikiwa ni maujanja Tu sio lazima elimu"
Malima ngwara manyara… inalipa sana kuliko spare sa Kichina na za wizi
 
acha tu mtoto wa tandale afanikiwe, ameHU$TLE sana aisee. na hii inatupa HAMASA pia vijana wa kimaskini kupambana ktk harakati zetu mpaka tutoboe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…