Kuna umuhimu wa jeshi letu kuboresha sare zake ziwe za kisasa zaidi

Kuna umuhimu wa jeshi letu kuboresha sare zake ziwe za kisasa zaidi

Full gear ya Askari mmoja wa marekani hapungui milioni 20 je uchumi wetu unasapoti hiyo ?ile bunduki peke yake ni milioni 13 achilia mbali radio bullet proof viatu uniform pistol na matakataka mengine kibao ambayo teknolojia yake haijatufikia bado.
Unapika data
 
1631394316994.png
 
Over size zinavaliwa hasa kwenye sherehe za kitaifa

..sasa sherehe za kitaifa si ndio kama "krismas" au "eid" ya kijeshi, hivyo askari anatakiwa awe nadhifu kuliko siku zote?

..hebu angalia hapa chini jinsi askari wa Rwanda walivyo nadhifu. Na uniform zao hata sio nzuri kulinganisha na zetu ila wametuzidi kwenye NEATNESS.

Mkuu nisamehe ila napingana na wewe katika uniform za hovyo ni za us army, nenda kwenye picha za leo za kufunga mafunzo ya ukomandoo uone tofauti ya uniform..uniform zetu ni the best.

kwenye gears ukitoa hizo fatigue wao wako advanced, hizo styles nyingine sisi sio ishu sana ila kwa uniform we are the best
Marekani wana sare nyingi kulingana na jeshi. Hata jeshi hilo hilo unakuta mfano Army ina sare za tropical & equatorial na pia desert environment. Hapo hapo kwenye Army unakutana na uniform za groups ndogo kama Rangers. Na hawa wote wana insignia tofauti.

Sasa wewe ukisema Marekani wana sare za hovyo unakosea kwa vile ziko nyingi. Sisi Tanzania zile ulizoona kwenye mafunzo ndio hizo hizo Darfur kwenye joto, Lebanon jangwani, DRC kwenye matope na Sheli sheli kwenye madimbwi
 
..sasa sherehe za kitaifa si ndio kama "krismas" au "eid" ya kijeshi, hivyo askari anatakiwa awe nadhifu kuliko siku zote?

..hebu angalia hapa chini jinsi askari wa Rwanda walivyo nadhifu. Na uniform zao hata sio nzuri kulinganisha na zetu ila wametuzidi kwenye NEATNESS.

Rwanda wako nadhifu niliona na Botswana wako safi na hata South Africa. Egypt hao ndio usiseme kabisa ila sisi wanavaa mabwanga na unakuta askari mfupi kapewa suruali refu analidumbukiza kwenye buti linaninginia na kutepeta. Sijui huwa hawawapimi
 
..kwa kweli tunatakiwa tujiongeze ktk suala la UNADHIFU.

..ukiwakagua utaona kuna makosa kibao, wengine hawajakata nywele vizuri, wengine mikanda mikubwa, etc etc.

Wewe nadhani hujawahi kwenda hata mgambo

Yaani unasema hazijawahi kubadirishwa! Sema Hujui tu chochote.
 
Mi naona tubadili tone / melody ya wimbo wetu wa Taifa maana karibia nchi tatu (South Afrika, Zambia na Tanzania) kama si nchi nne hapa afrika zinatumia tone/melody hiyo hiyo kitu kinacholeta ukakasi pale ambapo nchi hizo viongozi wake wakuu wa nchi wanapotembeleana na kupigiwa nyimbo za mataifa yao. Au kwenye mpira pale ambapo timu za taifa mfano Tanzania na Zambia zikikutana nyimbo za taifa zote zina melody/tone inayofanana kabisa. MANENO/MASHAIRI YA WIMBO WETU WA TAIFA NI MAZURI HAYATAKIWI KUBADILISHWA KWA HARAKA.
 
Jeshi liko bize kuzuia mikutano ya ndani ya Chadema huko Kanda maalum
 
Hayo mambo yatatendeka kama tukiwa walipa KODI wazuri

Sio tunataka Mambo makubwa halafu wagumu kutoa pesa

Hizo Nchi ulizozilinganisha waona kabisa uchumi tunafanana nao? Lakini pia walijipinda hadi kufika hapo walipo.

..tunapendekeza askari wetu wawe NADHIFU.

..suala hilo halihitaji wananchi kulipa kodi zaidi ili litekelezwe.

..kila kitu serikali inachoshindwa kutekeleza inadai tatizo ni upungufu wa fedha.
 
Mi nashauri uniform za police zibadilishwe ziwe na mwonekano wa kama zile za chama cha akina hayati
 
Hayo mambo yatatendeka kama tukiwa walipa KODI wazuri

Sio tunataka Mambo makubwa halafu wagumu kutoa pesa

Hizo Nchi ulizozilinganisha waona kabisa uchumi tunafanana nao? Lakini pia walijipinda hadi kufika hapo walipo.
Tatizo sio kulipa kodi au walipa kodi, tatizo ni matumizi sahihi ya hizo kodi na rasilimali tulizopewa na Mungu.

Jeshi wana kiwanda chao cha nguo na viatu sio mpaka tuweke fedha nyingi kivile ili wawe nadhifu, ni swala la ubunifuni tu.
 
Back
Top Bottom