Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Ni kweli RSM kicheo ni mdogo kwa Afisa wa Jeshi yoyote yule ila RSM ndiyo mtunza nidhamu mkuu wa Jeshi na ni cheo mtu anakifikia baada ya kuwa na uzoefu wa muda mwingi sana Jeshini ndiyo maana hiki cheo huheshimika na kila Askari na Maofisa.o.k
Halafu kama sikosei Mr RSM cheo chake ni cheo kidogo mbele ya PO sema ofisi na majukumu yake labda makubwa
Kimsingi RSM anachukuliwa ni kama Ofisa tu maana hata kwenye mavazi hasa ile uniform number 3 na yeye RSM anayo wakati ni vazi la Maofisa tu.