Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande RSM HUYO..
VIPI HUJAMBO LAKINI KAMANDA?
Siyo uniform zetu..Zile buti zenyewe za kijivu baadhi ya kambi tunavaa kwa siri makamanda hawataki
RSM anapaswa kuwa mfano wa kuigwa sasa kama PO anavaa moka na mbati na RSM yupo huo ni uzembe.Dah maRSM bwana ,kuna mmoja WO1 kama sio WO2 huwa namuona anapigilia moka kabisa badala ya buti
Ila jeshi linataka moyo bwana ,maafisa eti ndio mfano unakuta baadhi wanavaa moka na bakabaka sasa avae hivyo kapera kudadadeki kama sio Quarter guard wiki mbili
RSM anapaswa kuwa mfano wa kuigwa sasa kama PO anavaa moka na mbati na RSM yupo huo ni uzembe.
Bila picha mods wafute huu uziHabari wanajamvi,
Nimekuwa nikifuatilia uniform za majeshi ya nchi zinazoendelea kama Marekani, China, Uinhereza n.k. Itagundua uniform za majeshi yao za zamani na sasa ni tofauti kabisa.
Mfano jeshi la Marekani uniform zao wakati wa vita vya Vietnam na za sasa ni tofauti kabisa. Za sasa zina muonekano mzuri na wa kuvutia. Achilia mbali buti zao zile zenye rangi ya kaki.Yaani mjeda akisimama hivi mpaka unapenda, alafu pembeni kuna baji ina rangi ya bendera.
Akienda kwenye operesheni ana miwani, helmet ya kisasa. Alaf kavaa kitu kama jaketi fulani hivi lina bullet prrof material na sehemu za kuwekaweka silaha na mabomu.
Sasa uniform za jeshi letu ni zile zile za tangu enzi za nduli, ya kijani kijani hivi. Naona kama zimepitwa na wakati. Pia mabuti yetu meusi yale yale za kizamani. Ninadhani tunahitaji uniform zenye mvuto zaidi.
Upo jktZile buti zenyewe za kijivu baadhi ya kambi tunavaa kwa siri makamanda hawataki
Shida ni picha tuu bila maandishiMimi nadhani inategemeana na kikosi View attachment 1934815View attachment 1934824View attachment 1934833View attachment 1934844View attachment 1934848View attachment 1934849View attachment 1934850View attachment 1934851View attachment 1934852View attachment 1934853View attachment 1934854View attachment 1934855View attachment 1934860View attachment 1934862View attachment 1934861View attachment 1934863View attachment 1934864View attachment 1934865View attachment 1934866View attachment 1934867
Umemaliza kila kitu.Hakuna walichoboresha kwenye uniform, bali mazingira ya eneo vita inapopiganwa uamua wavae uniform ipi? Zipo mpaka sare za kwenye Ice/ snow land
View attachment 1934031
View attachment 1934032
Kombat za kwenye mazingira ya snow
View attachment 1934033
Permanent Officer..Umemaanisha PO au CO?
MaRSM wengi kama sio wote huws wako vizuri kinidhamu ila imetokea kuna maafisa wanapigilia bakabaka na moka
Dah! Enzi za zama za kina Kambarage hata kapteni tu unamuheshimu balaa maana ameiva kaiva kweli sasa leo hii duuuh
Utaita Askari wote Tanzania nzima pale CMTU uwapime na kuwashonea?Uniform zinashonwa bongo..vp wanashindwa kuwapima ili kushona kulingana na saizi zao..au ndo mambo ya upigaji
Jikite kwenye uniform achana na hayo mazagazagaFull gear ya Askari mmoja wa marekani hapungui milioni 20 je uchumi wetu unasapoti hiyo? ile bunduki peke yake ni milioni 13 achilia mbali radio bullet proof viatu uniform pistol na matakataka mengine kibao ambayo teknolojia yake haijatufikia bado.
Acha mawazo ya kizamani.hilo linawezekana kila mtu apimie kambini kwake linatumwa jina na vipimo tuUtaita Askari wote Tanzania nzima pale CMTU uwapime na kuwashonea?
Duh mzee ndiyo unaamini suluhisho ni kila askari kwenda hapo ili apimwe?Utaita Askari wote Tanzania nzima pale CMTU uwapime na kuwashonea?
Mbona hiyo ni nzuri, inatuunganisha kama ndugu na watoto wa Mama Africa.(WakushiMi naona tubadili tone / melody ya wimbo wetu wa Taifa maana karibia nchi tatu (South Afrika, Zambia na Tanzania) kama si nchi nne hapa afrika zinatumia tone/melody hiyo hiyo kitu kinacholeta ukakasi pale ambapo nchi hizo viongozi wake wakuu wa nchi wanapotembeleana na kupigiwa nyimbo za mataifa yao. Au kwenye mpira pale ambapo timu za taifa mfano Tanzania na Zambia zikikutana nyimbo za taifa zote zina melody/tone inayofanana kabisa. MANENO/MASHAIRI YA WIMBO WETU WA TAIFA NI MAZURI HAYATAKIWI KUBADILISHWA KWA HARAKA.
Hao polisi ndio wanavaa takataka kabisa sare hazina hata mfanano.Sioni tofauti ya polisi na mgambo.JW pia wana bullet proof, hizo boot zipo police na jw labda uongelee camera kwenye helmet
Permanent Officer..