EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Unapika dataFull gear ya Askari mmoja wa marekani hapungui milioni 20 je uchumi wetu unasapoti hiyo ?ile bunduki peke yake ni milioni 13 achilia mbali radio bullet proof viatu uniform pistol na matakataka mengine kibao ambayo teknolojia yake haijatufikia bado.
Full gear ya Askari mmoja wa marekani hapungui milioni 20 je uchumi wetu unasapoti hiyo ?ile bunduki peke yake ni milioni 13 achilia mbali radio bullet proof viatu uniform pistol na matakataka mengine kibao ambayo teknolojia yake haijatufikia bado.
Over size zinavaliwa hasa kwenye sherehe za kitaifa
Hizo ni gharama za nguo tu zile Gwanda achilia makorokoro wanayobeba
Marekani wana sare nyingi kulingana na jeshi. Hata jeshi hilo hilo unakuta mfano Army ina sare za tropical & equatorial na pia desert environment. Hapo hapo kwenye Army unakutana na uniform za groups ndogo kama Rangers. Na hawa wote wana insignia tofauti.Mkuu nisamehe ila napingana na wewe katika uniform za hovyo ni za us army, nenda kwenye picha za leo za kufunga mafunzo ya ukomandoo uone tofauti ya uniform..uniform zetu ni the best.
kwenye gears ukitoa hizo fatigue wao wako advanced, hizo styles nyingine sisi sio ishu sana ila kwa uniform we are the best
Rwanda wako nadhifu niliona na Botswana wako safi na hata South Africa. Egypt hao ndio usiseme kabisa ila sisi wanavaa mabwanga na unakuta askari mfupi kapewa suruali refu analidumbukiza kwenye buti linaninginia na kutepeta. Sijui huwa hawawapimi..sasa sherehe za kitaifa si ndio kama "krismas" au "eid" ya kijeshi, hivyo askari anatakiwa awe nadhifu kuliko siku zote?
..hebu angalia hapa chini jinsi askari wa Rwanda walivyo nadhifu. Na uniform zao hata sio nzuri kulinganisha na zetu ila wametuzidi kwenye NEATNESS.
Rwanda wako nadhifu niliona na Botswana wako safi na hata South Africa. Egypt hao ndio usiseme kabisa ila sisi wanavaa mabwanga na unakuta askari mfupi kapewa suruali refu analidumbukiza kwenye buti linaninginia na kutepeta. Sijui huwa hawawapimi
Afande RSM HUYO..Zile buti zenyewe za kijivu baadhi ya kambi tunavaa kwa siri makamanda hawataki
Hayo mambo yatatendeka kama tukiwa walipa KODI wazuri
Sio tunataka Mambo makubwa halafu wagumu kutoa pesa
Hizo Nchi ulizozilinganisha waona kabisa uchumi tunafanana nao? Lakini pia walijipinda hadi kufika hapo walipo.
wale wanajishonea wenyewe maskini..Daah ungesema askari magereza, wanatia sana huruma uniforms zimechoka sana
Uniform huwa wanaghafamia wenyeweNchi nyingi za Kiafrika uniform za jeshi ziko vizuri tatizo labda ni bajeti tu ya kuwapa uniform mpya wanajeshi kwa wakati muafaka
Tatizo sio kulipa kodi au walipa kodi, tatizo ni matumizi sahihi ya hizo kodi na rasilimali tulizopewa na Mungu.Hayo mambo yatatendeka kama tukiwa walipa KODI wazuri
Sio tunataka Mambo makubwa halafu wagumu kutoa pesa
Hizo Nchi ulizozilinganisha waona kabisa uchumi tunafanana nao? Lakini pia walijipinda hadi kufika hapo walipo.