Kuna umuhimu wa jeshi letu kuboresha sare zake ziwe za kisasa zaidi

Sidhani kama ni sahihi kulinganisha hili suala la ubora wa vifaa vya kijeshi kati ya Tanzania na USA! USA ni nchi tajiri wakati Tanzania ni nchi maskini. Labda hapo Kenya na Uganda wenyewe wapoje?
 
Afande RSM HUYO..

VIPI HUJAMBO LAKINI KAMANDA?

Dah maRSM bwana ,kuna mmoja WO1 kama sio WO2 huwa namuona anapigilia moka kabisa badala ya buti

Ila jeshi linataka moyo bwana ,maafisa eti ndio mfano unakuta baadhi wanavaa moka na bakabaka sasa avae hivyo kapera kudadadeki kama sio Quarter guard wiki mbili
 
RSM anapaswa kuwa mfano wa kuigwa sasa kama PO anavaa moka na mbati na RSM yupo huo ni uzembe.
 
RSM anapaswa kuwa mfano wa kuigwa sasa kama PO anavaa moka na mbati na RSM yupo huo ni uzembe.

Umemaanisha PO au CO?

MaRSM wengi kama sio wote huws wako vizuri kinidhamu ila imetokea kuna maafisa wanapigilia bakabaka na moka

Dah! Enzi za zama za kina Kambarage hata kapteni tu unamuheshimu balaa maana ameiva kaiva kweli sasa leo hii duuuh
 
Bila picha mods wafute huu uzi
 
Uniform zinashonwa bongo..vp wanashindwa kuwapima ili kushona kulingana na saizi zao..au ndo mambo ya upigaji
 
Umemaliza kila kitu.

Miaka ya hivi karibuni marekani iliingia kwenye kashfa kubwa Afghanistan baada ya kulinunulia jeshi la nchi hiyo uniform za kijani kwa mamilioni ya dola za walipa Kodi kwenye nchi ambayo 98% ni jangwa.

Hivyo uniform ni mazingira na Africa ni kijani mno yaani forest nyingi that's why.
 
Umemaanisha PO au CO?

MaRSM wengi kama sio wote huws wako vizuri kinidhamu ila imetokea kuna maafisa wanapigilia bakabaka na moka

Dah! Enzi za zama za kina Kambarage hata kapteni tu unamuheshimu balaa maana ameiva kaiva kweli sasa leo hii duuuh
Permanent Officer..
 
Full gear ya Askari mmoja wa marekani hapungui milioni 20 je uchumi wetu unasapoti hiyo? ile bunduki peke yake ni milioni 13 achilia mbali radio bullet proof viatu uniform pistol na matakataka mengine kibao ambayo teknolojia yake haijatufikia bado.
Jikite kwenye uniform achana na hayo mazagazaga
 
Utaita Askari wote Tanzania nzima pale CMTU uwapime na kuwashonea?
Duh mzee ndiyo unaamini suluhisho ni kila askari kwenda hapo ili apimwe?

Haiwezekani ikapangwa kila kambi na askari wake wanakua na majina na vipimo vya mtu halafu vikawasilishwa hapo kwa ajili ya ushonaji? Kazi ikiisha inajulikana kabisa hizi ni za kambi A, wanasafirishiwa zikiwa na majina.

Hiyo ni ngumu?
 
Nilisikitika sana baada ya kuona askari wa jwtz akitoa pesa yake mfukoni kujinunulia uniform kambi fulani.
Za mgao ukizipata kuzipata tena mpaka usubiri sana.
 
Mbona hiyo ni nzuri, inatuunganisha kama ndugu na watoto wa Mama Africa.(Wakushi
 
JW pia wana bullet proof, hizo boot zipo police na jw labda uongelee camera kwenye helmet
Hao polisi ndio wanavaa takataka kabisa sare hazina hata mfanano.Sioni tofauti ya polisi na mgambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…