Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Ni kweli RSM kicheo ni mdogo kwa Afisa wa Jeshi yoyote yule ila RSM ndiyo mtunza nidhamu mkuu wa Jeshi na ni cheo mtu anakifikia baada ya kuwa na uzoefu wa muda mwingi sana Jeshini ndiyo maana hiki cheo huheshimika na kila Askari na Maofisa.o.k
Halafu kama sikosei Mr RSM cheo chake ni cheo kidogo mbele ya PO sema ofisi na majukumu yake labda makubwa
Ulienda jkt kumbe[emoji28][emoji23][emoji23][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]Ni kweli RSM kicheo ni mdogo wa Afisa wa Jeshi yoyote yule ila RSM ndiyo mtunza nidhamu mkuu wa Jeshi na ni cheo mtu anakifikia baada ya kuwa na uzoefu wa muda mwingi sana Jeshini ndiyo maana hiki cheo huheshimika na kila Askari na Maofisa.
Kimsingi RSM anachukuliwa ni kama Ofisa tu maana hata kwenye mavazi hasa ile uniform number 3 na yeye RSM anayo wakati ni vazi la Maofisa tu.
Utaratibu unaoeleweka ni huu..Duh mzee ndiyo unaamini suluhisho ni kila askari kwenda hapo ili apimwe?
Haiwezekani ikapangwa kila kambi na askari wake wanakua na majina na vipimo vya mtu halafu vikawasilishwa hapo kwa ajili ya ushonaji? Kazi ikiisha inajulikana kabisa hizi ni za kambi A, wanasafirishiwa zikiwa na majina.
Hiyo ni ngumu?
Tukiwa JKT zilikuja mpya chakushangaa Made in China sasa sijui viwanda vya tz viliishia wapi ila viatu ITALYUtaratibu unaoeleweka ni huu..
Vikosi vyote vya Jeshi vina kitengo cha ushonaji hivyo uniform zikishonwa toka CMTU zinashonwa za size mbalimbali kuanzia M,L,XL,XXL hivyo basi kila Askari atapata mgao kulingana na size yake sasa bahati mbaya ukipata size iliyo kubwa kukuzidi mwili wako utaenda kuipunguza kuendana nawe..
Halipo jeshi linalopoteza muda huo kupima na kupeleka vipimo kwa washonaji,JESHI SIYO KIWANDA CHA SHERIA NGOWI..
Full gear ya Askari mmoja wa marekani hapungui milioni 20 je uchumi wetu unasapoti hiyo? ile bunduki peke yake ni milioni 13 achilia mbali radio bullet proof viatu uniform pistol na matakataka mengine kibao ambayo teknolojia yake haijatufikia bado.