Ushora Ndago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 318
- 360
Ukisusa wenzio wala !Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Tutaipataje tume huru? Tuanzie hapa
SawaNyinyi hampigi kura, bali mtaenda kubariki uovu.
kwa utaahira wako ndiyo unachofikiria ? kwa kosa gani rais mchapakazi kama huyu umfanyie fujo hivi wewe hapo na akili zako unataka rais awe nani hebu tuambie tukujadirirHuyu Rais ni wa kufanyiwa fujo tu Kama Blaise Compaoure wa Burkina Faso
fikirieni kufanya kazi hayo waachieni wenye nchi yaani watawala maana muda wakuondoka bado kipindi cha pili mnapoteza muda bureLeo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Mnajichanganya tuMwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
nyinyi ni kundi dogo sana hapa nchini kuwafanya mamilioni ya watanzania kukaa kuwafikiria subirini mjengewe nchi ya asali na maziwa ikikamilika muwe mnanyonya tu na ninaamini hamtapiga kelele tena hivi wewe hapo na umri wako ungependa rais awe nani kama huyu humtaki? unataka ufanyiwe nini labda? kuqweni na akili japo kidogoSisi ndiyo wenye nchi na walipa kodi. Mawazo yetu yaheshimiwe.
nyinyi ni kundi dogo sana hapa nchini kuwafanya mamilioni ya watanzania kukaa kuwafikiria subirini mjengewe nchi ya asali na maziwa ikikamilika muwe mnanyonya tu na ninaamini hamtapiga kelele tena hivi wewe hapo na umri wako ungependa rais awe nani kama huyu humtaki? unataka ufanyiwe nini labda? kuqweni na akili japo kidogo
huviu huyu chizi naye unaweza kumuamini? hapo akili yake inawaza awe rais tu kwahiyo ndiyo unaona anafaa kuwa rais? kweli usifanye watu wakakuona zezeta wakati mara nyingine uaandikaga mabandiko yenye busara
Kumbe CCM machizi yanaweza kuhodhi nafasi ya Waziri wa mambo ya nchi za nje.huviu huyu chizi naye unaweza kumuamini? hapo akili yake inawaza awe rais tu kwahiyo ndiyo unaona anafaa kuwa rais? kweli usifanye watu wakakuona zezeta wakati mara nyingine uaandikaga mabandiko yenye busara
huna hoja huyo kichaa wenu anatamaa sana mchukueni awe mpinzani mwenzenu tu maana huku hatuna watu wasio na akili na ttamaa kama huyu jamaa yeye alifikiri kuwa waziri wa mambo ya nje ni tiketi ya kuwa rais hatufai hebu chagua mwingine tumuone kama unabusara keli ya kuangalia mtu anaeweza kuongoza nchiKumbe CCM machizi yanaweza kuhodhi nafasi ya Waziri wa mambo ya nchi za nje.
Ndio alivyosema mkaguzi mkuu wa serikaliNdiyo lakini tunahitaji vyama vinavyosaidia watz siyo wala ruzuku tu kama Chadema wanashindwa hata kujenga ofisi wakati wanapewa ruzuku ya almost 350million per month lakini zinaishia kwenye matumbo ya kina Mbowe na genge lake.
Afadhali leo umekuwa practical na realistic. Ila wenzako watapiga ngonjera wee ya hii kitu utadhani kwamba marekebisho ya tume yako njiani. Nashauri watu wote wasome thread hii.Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Ukisusa wenzio wala !