ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Nakubaliana na wewe aslimia 200 lakini nini madhara ya kukwepa huu ujinga? Wanatafuta nguvu kazi ya bure kwa kisingizio cha uzalendo hilo ni wazi kabisa.JKT kupoteza muda tu na kutesa vijana wetu wameshachoka na mitihani hata hawajapumzika waend tena kulima huko na kukimbiakimbia, hao wa kujitolea tu hawawaajiri wanazeekea makambini na kurejea mitaani.
Binafsi sioni faida ya kwenda huko, labda kama una ndoto na jeshi unaweza kwenda ukapata connection otherwise piga chini, chuo utaenda tu.
nenda ukalime mashamba ya wenye nchi halafu waje wakuuzie kwa bei wanayo ipanga waoNakubaliana na wewe aslimia 200 lakini nini madhara ya kukwepa huu ujinga? Wanatafuta nguvu kazi ya bure kwa kisingizio cha uzalendo hilo ni wazi kabisa.
Wangefanya JKT iwe mandatory kwa wanaume tu kama nchi nyingi za Ulaya. Kwa wanawake iwe hiyari. Sababu huko kuna changamoto nyingi ambazo siyo rafiki kwa wasichana.Watoto wa sasa hivi ni lonyolonyo sana, nashauri mbunge litunge sheria iwe ni lazima kwenda JKT.
Kiukweli mnatusikitisha sana Toto lipo high school bado linasimamiwa na wazazi hawezi hata kujisimamia.
Kizazi hiki bila kukipitisha jeshini tunaandaa msiba mkubwa kwa Taifa.
Acha zama za ushamba na ujima.Watoto wa sasa hivi ni lonyolonyo sana, nashauri mbunge litunge sheria iwe ni lazima kwenda JKT.
Kiukweli mnatusikitisha sana Toto lipo high school bado linasimamiwa na wazazi hawezi hata kujisimamia.
Kizazi hiki bila kukipitisha jeshini tunaandaa msiba mkubwa kwa Taifa.
Kama kijana aliyemaliza A level anaweza kukwepa kadhia ya kuripoti JKT bila kukumbana na serious consequences kuhusu future yake sidhani kuna mtu angeripoti kambini. Ndiyo hoja yangu ya msingi.Umasikini tu kijana wa kidato Cha sita kwenda huko ni umasikini tu Kama Mzazi upo vizuri mwandalie mtoto future Mapema..
Kupita JKT haimaniishi utapata faida zozote sema kutokana na umasikini wa pesa na fikra wazazi huwapeleka watoto wao jkt ili angalau wabaatishe nafasi za majeshi Kama ulinzi , police ,jwtz nk .Kama kijana aliyemaliza A level anaweza kukwepa kadhia ya kuripoti JKT bila kukumbana na serious consequences kuhusu future yake sidhani kuna mtu angeripoti kambini. Ndiyo hoja yangu ya msingi.
KAZI ipoNakubaliana na wewe aslimia 200 lakini nini madhara ya kukwepa huu ujinga? Wanatafuta nguvu kazi ya bure kwa kisingizio cha uzalendo hilo ni wazi kabisa.
Hata wiki haijaisha tokea Wanafunzi wa A- level wamalize mitihani, JKT washakuja na orodha yao. Haya ni maumivu na stress tupu kwa vijana hata muda wa ku relax baada ya kumaliza masomo hakuna?nenda ukalime mashamba ya wenye nchi halafu waje wakuuzie kwa bei wanayo ipanga wao