Daghaseta
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 396
- 535
Inasaisia nini, akitoka huko anapata ajira au ni ushabiki kumuongezea miaka ya msoto!Watoto wa sasa hivi ni lonyolonyo sana, nashauri bunge litunge sheria iwe ni lazima kwenda JKT.
Kiukweli mnatusikitisha sana Toto lipo high school bado linasimamiwa na wazazi hawezi hata kujisimamia.
Kizazi hiki bila kukipitisha jeshini tunaandaa msiba mkubwa kwa Taifa.