cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee DC hebu relaaaaaaxxx, hili povuu vipii?Huyo cocastic kuchafua watu ndio tabia yake, sio mara ya kwanza. Ana hii tabia huku jf kwa muda mrefu sana, Kuna watu anawadhalilisha bila sababu za msingi
Hao unaosema mimi sijawahi kuwaona wakimdhalilisha mtu humu. Cocastic anapaswa kufungwa break, naamini kwenye hili la jeshi kuna kitu atajifunza.
Jeshi ni taswira ya nchi.
Kuwa buzzy na mambo yakooo