Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Watoto wa dada zangu wa 2 walipangiwa na hawakwenda huko, na mkopo walipata. Nadhani iwe hiari .Kama kijana aliyemaliza A level anaweza kukwepa kadhia ya kuripoti JKT bila kukumbana na serious consequences kuhusu future yake sidhani kuna mtu angeripoti kambini. Ndiyo hoja yangu ya msingi.