Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Kama kijana aliyemaliza A level anaweza kukwepa kadhia ya kuripoti JKT bila kukumbana na serious consequences kuhusu future yake sidhani kuna mtu angeripoti kambini. Ndiyo hoja yangu ya msingi.
Watoto wa dada zangu wa 2 walipangiwa na hawakwenda huko, na mkopo walipata. Nadhani iwe hiari .
 
Kwa hiyo wewe unafikiri elimu ya darasani inatosha kwenye kumwendeleza kijana? Elimu ni zaidi ya makaratasi
Sasa pale JKT kuna elimu gani zaidi ya upotovu na ukengeufu tu? Basi mpeleke mwanao wa kike akachakazwe na kit0mb0 au mwana wa kiume akafundishwe ushaga ndipo utaelewa.
 
Watoto wa dada zangu wa 2 walipangiwa na hawakwenda huko, na mkopo walipata. Nadhani iwe hiari .
Kwenda JKT kunawaongezea vijana ukengeufu. Hakuna haja ya kuwapeleka watoto huko JKT kufundishwa ujinga.
 
Huyo cocastic anapaswa kuwa sehemu salama, huwezi kuchafua jeshi hivi hivi tunashuhudia. Jeshi lina heshima yake na hadhi yake. Taswira ya jeshi inapaswa kulindwa

Cocastic hana maana hata kidogo, ana mdomo mchafu sana.

Cocastic umeyakanyagaa
Kwahiyo unatamani watoto wetu waende kuharibiwa huko JKT? Mpeleke mwanao usitupangie.
 
Hatuko vitani, wala hatuna adui.
Hakuna sababu ya kupeleka watu JKT.

Hizo gharama wanazotumia bora wapeleke Wahitimu wa Vyuo wanaotaka ajiriwa wapitie huko miezi 6 kwanza
 
Halafu wewe utapata faida gani? Kalichafua wapi?! Wakati yeye anaelezea changamoto zilizopo huko kambini! Huoni km analisaidia jeshi kubaini vitendo viovu vinavyotokea huko na wazazi wawape watoto tahadhali ya mambo yanayotokea ili wawe makini?!!

Kuwa mwanaume bhana sio kila kitu cha kupinga, mbona wengi wameongelea hiyo issue
Huyo jamaa mpuuzi tu, mpuuze. Sijui yeye anapata faida gani watoto wa watu wnapoenda kuharibiwa huko JKT.
 
Unajua coca amesema alienda na alishuudia hivyo vitendo na member wengine tena wanaume wenzio nao wamesema hivyo vitendo vipo na vinafanyika. Kwanini na wao usiwaambie wafute?

Km unataka kukemea uovu usichague upande mmoja
Huyo jamaa huenda ni shoga na huo ushoga atakuwa kaupata huko JKT. Mpuuzeni.
 
Wangefanya JKT iwe mandatory kwa wanaume tu kama nchi nyingi za Ulaya. Kwa wanawake iwe hiyari. Sababu huko kuna changamoto nyingi ambazo siyo rafiki kwa wasichana.
Hata kwa wanaume hakufai mkuu. Hakuna chochote wanachofundishwa huko zaidi ya ujinga mtambuka.
 
Nakubaliana na wewe aslimia 200 lakini nini madhara ya kukwepa huu ujinga? Wanatafuta nguvu kazi ya bure kwa kisingizio cha uzalendo hilo ni wazi kabisa.
Haohao wanaotetea vijana waende JKT kujenga uzalendo mbona wao wamepita huko lakini ni MAFISADI wakubwa? Wanataka watoto wa wakulima waende kuharibiwa huko JKT wakati wao hawawapeleki waoto wao huko....watoto wao wanasoma Ulaya na Marekani. Waache kutupangia majanga, wapuuzi wakubwa!
 
Kwa watoto wa kike,kwakweli ingekua hiyari,nasemekana wanakanyagwa sana kule na baadhi yao wanarudi na ngoma.Wawape uhiyari,najua kuna wadada wenye libido kubwa kwenye miili yao,watajiunga kwa hiyari yao,wawe wanashinda kwenye 'hanger',wakishughulikiwa.
 
Pole sana cocastic, nlikuambia ukaleta ujuaji. Umeyataka mwenyewe

cocastic
Cute Wife
20230602_220125.jpg
 
@JKT Tanzania

Huyu anachafua jeshi, naamini kabisa jeshi litachukua hatua. Siamini hata kidogo jeshi linaweza kukaa kimya
hilo jeshi liache kazi zake likusikilizee wee?? DC umevurugwa vibayaaa poleeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo cocastic anapaswa kuwa sehemu salama, huwezi kuchafua jeshi hivi hivi tunashuhudia. Jeshi lina heshima yake na hadhi yake. Taswira ya jeshi inapaswa kulindwa

Cocastic hana maana hata kidogo, ana mdomo mchafu sana.

Cocastic umeyakanyagaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaa, sasa mie nilipokosea wapiii?? Hebu nitoleee ashuo zako hapa.
 
hilo jeshi liache kazi zake likusikilizee wee?? DC umevurugwa vibayaaa poleeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea na hizo dharau. Uzuri jeshi haliongei mara mbili mbili
20230602_220125.jpg
 
Back
Top Bottom