Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Inasaisia nini, akitoka huko anapata ajira au ni ushabiki kumuongezea miaka ya msoto!
 
Kuna voice note inatembea mitandaoni kuhusu binti anasimulia jinsi alivyoenda JKT akawa @n@t0mbwA na na kufirw@ na maafande tofauti tofauti hadi wakamuambukiza ukimwi na gono inasikitosha sana ukiisikiliza
Acha weee
 
Zitajeni Kambi zenye huo uchafu na sio kuongea kwa ujumla kwa kuwa zipo lukuki za kujiunga na mafunzo hayo ya JKT.Tusiwakatishe tamaa na kuwatisha wanaopata fursa hiyo.Isitoshe kama kuna mtu ananyanyaswa bado zipo njia za kulalamika kwa kuwa kambi hizo ni Taasisi za umma na wahusika kwa maana ya wakufunzi kuna miiko yake.Kama itawezekana tajeni Kambi na hata jina moja la mkufunzi mwenye tabia hizo. TUSICHAFUE TAASISI NZIMA KWA UTOVU WA NIDHAMU WA KIKUNDI AU MTU FULANI, HATUNA NCHI NYINGINE TULIYOZALIWA ISIPOKUWA TANZANIA.
 
Hawajalazimishwa kwenda.
Kwa mzazi anayejitambua hawezi peleka binti yake kule
 
Kuna voice note inatembea mitandaoni kuhusu binti anasimulia jinsi alivyoenda JKT akawa @n@t0mbwA na na kufirw@ na maafande tofauti tofauti hadi wakamuambukiza ukimwi na gono inasikitosha sana ukiisikiliza
Mzazi anayeruhusu mtoto wake kwenda kule ni mjinga na hana hela
 
Sio kweli sababu wanachukua mostly wenye div 1&2 na waliopitia advanced level vp kuhusu ambao serikali iliwachagua kwenye vyuo vya kati moja kwa moja
Mkuu acha kudanganya , madogo wamemliza form six mwezi uliopita na Sasa hivi wanaenda jkt ,
Vip matokeo yameshatoka kwan

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu watu wanaongea hapa kwa mihemuko tu ya story za hapa na pale.. kiukweli mujibu wanalindwa saaana na wanafatiliwa sana... jeshi limebadilika sana mtu kufanywa fanywa ni yeye mwenyewe amechagua kuishi hivyo , CMM Hatuna nchi nyingine tuliyozaliwa isipokuwa tanzania, ipende nchi yako kuliko kitu kingine chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…