Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake.
Yeye uangalia anachotaka na maslahi yake.
Ananguvu za utawala, waweza dhani anakuchekea kumbe rohoni akupigia mahesabu kukumaliza. Huyu ndiye mtawala kwa zama hata zama, huyu ndiye ajuae kila kitu.
Nikauliza sasa huyu atakuwaje mtawala?? Nikaambiwa umesikia nini? Nikasema nilisikia milio ya risasi. Nikaambiwa hiyo ni nguvu ya jeshi. Huyu mwenye nguvu ya utawala anahisi kunakitu anapingwa.
Mara akatokea mtu wa ndani sirini alikuwa siriaz (kwa kiswahili), nikauliza na huyu je? ni mmoja wao? Kwann kaletwa? Nikaambiwa kaja kwa ajili ya ku take care( kwa kimombo) kwa huyu mwenye nguvu ya utawala.
Huyu mtu wa sirini nilishindwa muelewa! Ndipo roho wa Mungu akanifunulia, kuwa mtawala anadhani ni mtu wake lakini si wake. Huyu mtu wa sirini alinionesha alama tu. Alikuwa aongei!
Hata huyo adhanie anachekewa anaweza ondolewa muda wowote ili huyu mtu hakikishe anataka atakalo. Anafanya kwa kificho kikubwa asijulikane. Anaweza kukutumia kisha akakugeuka na kutaka kukuangamiza.
Nilishangaa na upole, ucheshi wake kushika kitu cha kuangamiza yeye mwenyewe, huku usoni akionesha sura ya upendo na tabasamu. Ndipo Roho wa Bwana akanifungua macho natazama ni mtu alie na ghadhabu, uchu, ana hasira ya dubu, na amejawa na roho ya kisasi na maangamizi.
Nilishangaa, ila roho wa bwana akasema huyu mtu si mwema, wafaa kuwa nae kwa makini.
Ndipo roho wa Bwana akanichukua, na kuonionesha kisasi cha Mungu juu ya huyu adhaniae ananguvu.
Gadhabu ya Mungu ikawaka juu yake, ghafla akapigwa na gonjwa kubwa, sipendi eleza mengi Roho wa Mungu akanambia kuna jambo linakuja. Na huu utakuwa mwisho. Lakini ondoeani masalia ya huyu mwenye hiana. Kama mtataka kupiga hatua.