Kuna upepo wa prominent Protestant converting to Catholicism! Nini kinatokea?

Unaleta story za miaka ya katikati ya 90? Kuna watu ndiyo mngali mnaziishi hizo story!?
 
Good protestants become Catholic, Bad Catholics become protestant.
 
Disciple!
Haya makanisa ya watu binafsi utapeli mwingi.
Neno la Mungu wahubiri wengine wanaligeuza biashara.

Kwa mfano, kanisa la Mama Rwakatare, pamoja na kudai walikuwa wanafufua misukule, sasa hivi watoto wanagombania fito.

Owner kafa..kumbe ilikuwa biashara kama biashara nyingine.......na mazingaombwe juu
 
Heshima kwako,
Nimezaliwa Mkatoliki nikahamia upotekoste nikiwa na miaka 38, na sasa nimehamia kurudi ukatoliki, kwanini? Nimekuja kugundua ya kuwa ukristo wote ni mfumo uliotengenezwa na wakatoliki, na kwa maana hiyo wao ndio wanamjua Mungu ni nani kuliko wakristo wengine wote.
Binafsi nimefuatilia maandiko ya Zekariah Sitchin ambayo ametafsiri Summerian Tablets yote yanaelekea kanisa la Rome, na Rome wana symbolism zote tokana na Miungu ya Summeria, Documents zote za sitchin zinatupeleka Roman Catholic.
 
Kwa kifupi tutarajie wakana dini kuongezeka kadiri siku zinavyokwenda. Vijana wanazidi kudadisi mambo yote!
Hivyo ni vigumu kuwabrainwash
Watu wanavyodadisi mambo kwa viwango na upeo wa juu ndipo wanajikuta wakiingia Catholic.

Mfumo Kanisa Catholic ni kudadisi na kujiendelea kujifunza mambo bila mipaka.

Ndani ya Catholic hata Mungu hulaumiwa, pia “hukosolewa”, Usione watu wanavyonyenyekea ukadhani ni Makondoo. Ukatoliki siyo mwepesi, sema ninyi mmezoea kukutana na Wanajumuiya
 
Huku Africa si kazi rahisi. Waafrika wana historia ya Spiritualism, ambapo roho inakupa msaada katika mambo yako alafu unamfanyia ibada.
Ndo maana fatilia Kanisa Katoliki, naamini wengi huenda kwa makuhani wa giza kurekebisha mambo yao alafu jumapili utawaona kwenye Misa takatifu wakishiriki na kusali. Ndo maana kuna ongezeko la watu wengi katika makanisa ya dhehebu la pentekoste.
Kama makanisa ya kipentekoste yatakuwa genuine na kuonyesha ile kiu ya Spiritualism ndani ya Waafrika ikitulizwa ni vigumu watu warudi walikotoka, labda miujiza halisi ianze kuonekana Kanisa Katoliki.
 
Huko wanakaa waliotekwa kiroho tangu utotoni. Ukianza kuhoji yaliyomo humo hubaki
 
Lini papa ameruhusu ushoga
Kanisa linafuata biblia na hakuna kwenye biblia ushoga umerusiwa

Unapenda kujifurahisha na mambo ambayo hayakuongezei kitu
Tatizo la afya ya akili,mambo ya kitotototo,ulimbukeni,msongo wa mawazo na radicalism bila matumizi bora ya ubongo ni matatizo mamboleo.Vumilia.
 
mtarukaruka kama maharage lakini mtaiva si muda mrefu



 

Attachments

  • 1789132343289.png
    929.1 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…