Kuna upepo wa prominent Protestant converting to Catholicism! Nini kinatokea?

Hii mbona iko very clear

Kanisa lina taratibu ya kuombea au kubariki vitu na watu. Mtu akinunua gari anapeleka kwa Padri kubariki.
Watu wanaenda sana church kubarikiwa, kuombewa au kutoa shukrani kwa ajili ya mafanikio yao

Sasa kipindi cha nyuma kanisa lilibagua sana baadhi ya watu ikiwemo kuwaombea au kuwabariki mashoga

Kanisa katoliki halijawahi kufungisha ndoa ya jinsia moja iwe kwa wanawake au wanaume

Japo kuna makanisa hanafanya hivyo.

Ila mashoga ni tabia za watu wapo kwenye kila dini dunia hii.
Hata waislam wapo wengi tu ila msikiti hausiani na mashoha wala katoliki haiusiani na mashoga ndio maana kanisa katoliki limeppteza waumini wemgi kwa misimamo hii

This is known worldwide, Pope alirihusu kuwabariki watu ambao hata wanaishi katika dhambi ikiwemo hao mashoga. Sio kufungisha ndoa
Wote hawa ni watoto wa Mungu kanisa haliwezi kuhukumu...kwa nadharia hii
Hao mashoga waliruhusiwa na kanisa kubarikiwa kwenye nini?
 
Baba anaweza mbariki mtoto wake haimanishi ana dhambi au hana

Kazi ya kuhukumu ni kazi yake Mungu peke yake.

Hivyo kanisa limekiwa likijitenga na watu aina hii wawe mashoga, majambazi, nk. Kifupi watu ambao wanaishi katika misingi ya dhambi

Hivyo baadae kanisa limebadilisha mtazamo wake baada ya mabishano ya mda mrefu sasa hivi kanisa linabariki yeyote hata jambazi kwa sababu hata sadaka za makahaba mbona zinapokelewa haijalishi uliua ukapata hela

Hivyo Yesu alisemwa sana na wafarisayo. Kipindi kile alizunguka na kushinda na watu wa wanaoonekana wa hovyo, akawabariki. Yesu alizungukwa na masikini wa kutupwa, wagonjwa, watoza ushuru, makahaba... alisema kuwa amekuja kwa ajili ya watenda dhambi walio safi hana kazi nao

Hivyo kanisa kupitia mfano huu linawaombea, linawapa baraka baadhi, pia linatembelea majambazi mpaka yanayosubiri kunyongwa, linawapa misamaha baada ya kutubio na kuwapa sacrament.....

Hata usishangae
 
Good protestants become Catholic, Bad Catholics become protestant.
... and once they become good they go back to Catholicism. If your principle is true, which of the two sides is better?
 
Baba anaweza mbariki mtoto wake haimanishi ana dhambi au hana

Kazi ya kuhukumu ni kazi yake Mungu peke yake.

Hivyo kanisa limekiwa likijitenga na watu aina hii wawe mashoga, majambazi, nk. Kifupi watu ambao wanaishi katika misingi ya dhambi

Hivyo baadae kanisa limebadilisha mtazamo wake baada ya mabishano ya mda mrefu sasa hivi kanisa linabariki yeyote hata jambazi kwa sababu hata sadaka za makahaba mbona zinapokelewa haijalishi uliua ukapata hela

Hivyo Yesu alisemwa sana na wafarisayo. Kipindi kile alizunguka na kushinda na watu wa wanaoonekana wa hovyo, akawabariki. Yesu alizungukwa na masikini wa kutupwa, wagonjwa, watoza ushuru, makahaba... alisema kuwa amekuja kwa ajili ya watenda dhambi walio safi hana kazi nao

Hivyo kanisa kupitia mfano huu linawaombea, linawapa baraka baadhi, pia linatembelea majambazi mpaka yanayosubiri kunyongwa, linawapa misamaha baada ya kutubio na kuwapa sacrament.....

Hata usishangae

The Doctrine of faith aims to include not separate.

Who am I to judge. ...?

Yote hata alisema Pope Fransis kwa maana nzuri sana ila wanao support ushoga ndio huwa wanapotosha kutafuta credit
 
Akili ya mtu kifungo sana hata umweleze ukweli ataona anachotaka

Kuna siku jirani aliniona nafumga geti na funguo wakati natoka. Hii yote ni kwa sababu komea linaangalia nje ukitoa kisu unafungua. Nikaona bora tuwe tunafunga isiwe kesi

Basi bwana, jirani katangaza mtaa mzima kuwa ninawafungia mke na watoto ndani.

Kusikia wala sikuchukia kwa sababu no mtani wangu nikamweleza nyumba kila kitasa Kings zina funguo tano, mke wangu ana yake, hata kwa mama mzazi nimeacha funguo na nikamwonyesh

Lakini nikaja kukuta anamwambia mwingine kuwa huwa nawafungiq familia ndani. Nilichoka

Siku wife anatoka akafunga geti anamwambia wewe na wewe leo umeamua umfungie mwenzako ndani sio vizuri

Mtu kama huyu anaamini anachotaka kuamini ni chura kiziwi. Usipoteze nguvu bure wengine wako hivyo
 
Kwa kweli na ndio maana Kanisa Katoliki huwa halina muda kujibu hoja nyepesi nyepesi huwa lina wapuuza. (In Dr. Slaa tune)
 
Back
Top Bottom