Kuna upepo wa prominent Protestant converting to Catholicism! Nini kinatokea?

Kuna upepo wa prominent Protestant converting to Catholicism! Nini kinatokea?

Unazidi ku prove kwamba una tatizo la kuelewa. Kwa skili hizo ni dhahiri huko mitandaoni siyo size yako kabisa, na ukiendelea kushindashinda, kuna siku utajikuta umeshaa kuchonga nyuso na kipaka mafuta lips hizo
Wewe ***** xumabaako usijifanye punga msafi
Kama baba yako alifirw@ na kit Cunningham miaka ya ukoloni mana yake walikuwepo wengi waliofirw@ shule tofauti
Hata hapa mnaongoza kufir@ watoto wa kiume na sio hapa inajulikana dunia nzima mapadri wa wakatoliki wamefir@ watoto wa kiume kila nchi duniani
Ndio maana mmekubaliwa kufir@na na dini yenu
Hakuna hata ushahidi ulioleta kupinga dunia inavyoelewa kuwa sasa mmepewa ruksa kufir@na
Unaimba taarabu humu kama punga tu
 
Roma locuta est, causa finita est

View attachment 3668524

NAONA UNAPENDA SANA KUkATA VICHWA VYA HABARI KWA NAMNA ITAKAYO KUFURAHISHA. ILA HUKU ULIKOKIMBILIA NDIYO “NITAKUCHINJIA” KICHOGONI.​

Haya, Tulia udome hapa kwa utulivu

​

Doctrinal declaration opens possibility of blessing couples in irregular situations​

With the Declaration “Fiducia supplicans” issued by the Dicastery for the Doctrine of the Faith, approved by Pope Francis, it will be possible to bless same-sex couples but without any type of ritualization or offering the impression of a marriage. The doctrine regarding marriage does not change, and the blessing does not signify approval of the union.

By Vatican News

When two people request a blessing, even if their situation as a couple is “irregular,” it will be possible for the ordained minister to consent. However, this gesture of pastoral closeness must avoid any elements that remotely resemble a marriage rite.

The document explores the theme of blessings, distinguishing between ritual and liturgical ones, and spontaneous ones more akin to signs of popular devotion. It is precisely in this second category there is now consideration of the possibility of welcoming even those who do not live according to the norms of Christian moral doctrine but humbly request to be blessed. 23 years have passed since the former “Holy Office” published a Declaration (the last one was in August 2000 with “Dominus Jesus”), a document of such doctrinal importance.

“Fiducia supplicans” begins with the introduction by the prefect, Cardinal Victor Fernandez, who explains that the Declaration considers the “pastoral meaning of blessings,” allowing “a broadening and enrichment of the classical understanding” through a theological reflection “based on the pastoral vision of Pope Francis.”

It is a reflection that “implies a real development from what has been said about blessings up until now, reaching an understanding of the possibility “of blessing couples in irregular situations and same-sex couples without officially validating their status or changing in any way the Church’s perennial teaching on marriage.”

After the first paragraphs (1-3) that recall the previous pronouncement of 2021 that is now further developed and superseded, the Declaration presents the blessing in the Sacrament of Marriage (paragraphs 4-6) stating as inadmissible “rites and prayers that could create confusion between what constitutes marriage” and “what contradicts it,” by avoiding any implication that “something that is not marriage is being recognized as marriage.” It is reiterated that according to the “perennial Catholic doctrine” only sexual relations between a man and a woman in the context of marriage are considered lawful.

A second extensive part of the Declaration (paragraphs 7-30) analyzes the meaning of different blessings, whose recipients are people, objects of worship, and places of life. It is recalled that “from a strictly liturgical point of view,” the blessing requires that what is blessed “be conformed to God’s will, as expressed in the teachings of the Church.”

“When a blessing is invoked on certain human relationships” through a special liturgical rite, the Declaration notes, “it is necessary that what is blessed corresponds with God’s designs written in creation” (par. 11). Therefore, the Church does not have the power to impart a liturgical blessing on irregular or same-sex couples. It is also necessary to avoid the risk of reducing the meaning of blessings to this point of view only, expecting for a simple blessing “the same moral conditions for a simple blessing that are called for in the reception of the sacraments” (par. 12).

After analyzing blessings in Scripture, the Declaration offers a theological-pastoral understanding. Those who ask for a blessing show themselves “to be in need of God’s saving presence” in their lives by expressing “a petition for God’s assistance, a plea to live better” (par. 21). This request should be received and valued “outside of a liturgical framework” when found “in a realm of greater spontaneity and freedom” (par. 23).

When seeing them from the perspective of popular piety, “blessings should be evaluated as acts of devotion.” Those requesting a blessing “should not be required to have prior moral perfection” as a precondition, the Declaration notes.

Exploring this distinction, based on the response of Pope Francis to the dubia published last October that called for discernment on the possibility of “forms of blessing, requested by one or more persons, that do not convey an erroneous conception of marriage” (par. 26), the Declaration affirms that this kind of blessing “is offered to all without requiring anything,” helping people feel that they are still blessed despite their mistakes and that “their heavenly Father continues to will their good and to hope that they will ultimately open themselves to the good” (par. 27).

There are “several occasions when people spontaneously ask for a blessing, whether on pilgrimages, at shrines, or even on the street when they meet a priest and these blessings “are meant for everyone; no one is to be excluded from them” (par. 28).

While it is not appropriate to establish “procedures or rituals” for such cases, the ordained minister may join in the prayer of those persons who “although in a union that cannot be compared in any way to a marriage, desire to entrust themselves to the Lord and his mercy, to invoke his help, and to be guided to a greater understanding of his plan of love and of truth” (par. 30).

The third part of the Declaration (paragraphs 31-41) opens then to the possibility of these blessings that represent a sign for those who “recognizing themselves to be destitute and in need of his help—do not claim a legitimation of their own status, but who beg that all that is true, good, and humanly valid in their lives and their relationships be enriched, healed, and elevated by the presence of the Holy Spirit” (par. 31).

These blessings should not necessarily become the norm, the Statement notes, but entrusted to “a practical discernment in particular circumstances” (par. 37).

Although the couple is blessed but not the union, the Declaration notes that what is blessed is the legitimate relationship between the two people: in “a brief prayer preceding this spontaneous blessing, the ordained minister could ask that the individuals have peace, health, a spirit of patience, dialogue, and mutual assistance—but also God’s light and strength to be able to fulfill his will completely” (par. 38).

Also clarified is that to avoid “any form of confusion or scandal,” that when a couple in an irregular situation or same-sex couples ask for a blessing, it “should never be imparted in concurrence with the ceremonies of a civil union, and not even in connection with them. Nor can it be performed with any clothing, gestures, or words that are proper to a wedding” (par. 39). This kind of blessing “may instead find its place in other contexts, such as a visit to a shrine, a meeting with a priest, a prayer recited in a group, or during a pilgrimage” (par. 40).

In conclusion, the fourth chapter (paragraphs 42-45) recalls that “even when a person’s relationship with God is clouded by sin, he can always ask for a blessing, stretching out his hand to God” and desiring a blessing “can be the possible good in some situations” (par. 43).
 
Wewe ***** xumabaako usijifanye punga msafi
Kama baba yako alifirw@ na kit Cunningham miaka ya ukoloni mana yake walikuwepo wengi waliofirw@ shule tofauti
Hata hapa mnaongiza kufir@ watoto wa kiume na sio hapa inajulikana dunia nzima mapadri wa wakatoliki wamefir@ watoto wa kiume kila nchi duniani
Ndio maana mekubaliwa mfurir@ne na dini yenu
Hakuna hata ushahidi ulioleta kupinga dunia inavyoelewa kuwa sasa mmepewa ruksa kufir@na
Unaimba taarabu humu kama punga tu
Mbona unaandika kama vile unatingishwa matako. Upo sawa kweli sheikh?
 
Roma locuta est, causa finita est

View attachment 3668524
Hii mbona iko very clear

Kanisa lina taratibu ya kuombea au kubariki vitu na watu. Mtu akinunua gari anapeleka kwa Padri kubariki.
Watu wanaenda sana church kubarikiwa, kuombewa au kutoa shukrani kwa ajili ya mafanikio yao

Sasa kipindi cha nyuma kanisa lilibagua sana baadhi ya watu ikiwemo kuwaombea au kuwabariki mashoga

Kanisa katoliki halijawahi kufungisha ndoa ya jinsia moja iwe kwa wanawake au wanaume

Japo kuna makanisa hanafanya hivyo.

Ila mashoga ni tabia za watu wapo kwenye kila dini dunia hii.
Hata waislam wapo wengi tu ila msikiti hausiani na mashoha wala katoliki haiusiani na mashoga ndio maana kanisa katoliki limeppteza waumini wemgi kwa misimamo hii

This is known worldwide, Pope alirihusu kuwabariki watu ambao hata wanaishi katika dhambi ikiwemo hao mashoga. Sio kufungisha ndoa
Wote hawa ni watoto wa Mungu kanisa haliwezi kuhukumu...kwa nadharia hii
 
Ufafanuzi kidogo ,mkuu, umeweka mfupa mkubwa mno.
Kanisa la hapo mwanzo walichofundishwa walichosoma walichoishi ni tofauti kabisa na kanisa unavyoona hapa

Asilimia kubwa ya kanisa lenye nguvu kubwa au mchango wa mtume paulo halina msingi kabisa wa kile alichofundisha Yesu japo wanahubiri kuhusu Yesu.

Leo hii watu wanaenda kutafuta miujiza kanisani, leo hii watu wanakimbilia kwenye ibada za mafuta kisa tu alisoma kipande cha Biblia kuhusu Daudi kupakwa mafuta au Yesu alimponya kipofu

Niende taratibu. ....unajua Yesu aliponya nini? Magonjwa gani Yesu aliponya?
 
Wakuu,
Huko ulaya na hasa Marekani kuna pastors wengi na vijana wengi wanaojiunga na Kanisa Katoliki kuliko wakati wowote.

Ajabu kubwa wengi hakuna aliyewahubiri wabadilike bali ni kwa utafiti wao wa kina hasa historia ya kweli ya Kanisa na mafundisho ya mababa wa kale wa Kanisa na maandiko matakatifu

Ukitaka kujua kwamba sasa hii movement si kitu kidogo tena nenda youtube na fatilia ushangae kinachoendelea. Hata mainstream media zinatangaza kuwa kuna ongezeko la ajabu hadi kwenye mahudhurio ya misa kwenye makanisa mengi Marekani.

Moja ya sababu ambayo baadhi ya Gen Z wameitoa kuhamia Kanisa Katoliki ni makanisa mengi ya kileo kugeuka kuwa majukwaa ya maonesho, muziki, madhabahu kupambwa na mithili ya nyumba za disko na kupoteza tofauti wanayokutana nayo kwenye majukwaa ya kidunia.

Anyway, kama sio Mkatoliki ukijichanganga kufatilia debate na hizo movement za watu wanaobadilika tena wengi wakiwa ni Pastors, wainjilisti n.k utajikuta na wewe unaanza kuvutika kuchunguza kweli za imani yetu ya Kikristo.

Nafikiri huo upepo ukianza kuja huku tutashangaa prominent pastors waki Bongo wanafunga makanisa na kuwa walei wa Kikatoliki. Let us watch and pray!
All roads lead to RC.

Kobazi wamenuna mana RC ndio kikwazo chao kikubwa kwenye kusambaza ushetani wao.
 
ACha upotoshaji katoliki halijawahi ruhusu huo ushenzi uliokithiri zanzibar na pwani.
Wewe nakujua ni kilaza, zero brain lakini natuma hata kiswahili unaweza kusoma


BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo



Papa asema makasisi wa Kanisa Katoliki wanaweza kuwabariki wapenzi wa jinsi moja​

Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data
g

Chanzo cha picha,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,Papa Francis anasema watu kubarikiwa hakuhitaji "ukamilifu wa kimaadili"
Iliyochapishwa18 Disemba 2023
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.
Lakini Vatican ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.
Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.
Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu.
Vatican ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini hati hiyo inasema Makasisi lazima waamue kwa kuzingatia uhalisia wa kila tukio.
Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".
Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.
Iliyosomwa zaidi


End of Iliyosomwa zaidi
Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu ambariki mtu au watu wanaobarikiwa.
Kardinali Fernández alisisitiza kwamba msimamo huo mpya hauhalalishi hadhi ya wapenzi wa jinsia moja mbele ya Kanisa Katoliki.
End of Unaweza pia kusoma:
Tamko hilo linawakilisha urejeshaji wa sauti kutoka kwa Kanisa Katoliki, ingawa sio mabadiliko ya msimamo.
Mnamo 2021, Papa alisema makasisi hawawezi kubariki ndoa za watu wa jinsia moja kwa sababu Mungu hawezi "kubariki dhambi".
Mnamo mwezi Oktoba Papa Francis alikuwa amependekeza kwamba alikuwa wazi kuhusu Kanisa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja.
Maaskofu katika nchi fulani hapo awali wameruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, ingawa msimamo wa mamlaka ya Kanisa haikufahamika wazi.
 
Wakuu,
Huko ulaya na hasa Marekani kuna pastors wengi na vijana wengi wanaojiunga na Kanisa Katoliki kuliko wakati wowote.

Ajabu kubwa wengi hakuna aliyewahubiri wabadilike bali ni kwa utafiti wao wa kina hasa historia ya kweli ya Kanisa na mafundisho ya mababa wa kale wa Kanisa na maandiko matakatifu

Ukitaka kujua kwamba sasa hii movement si kitu kidogo tena nenda youtube na fatilia ushangae kinachoendelea. Hata mainstream media zinatangaza kuwa kuna ongezeko la ajabu hadi kwenye mahudhurio ya misa kwenye makanisa mengi Marekani.

Moja ya sababu ambayo baadhi ya Gen Z wameitoa kuhamia Kanisa Katoliki ni makanisa mengi ya kileo kugeuka kuwa majukwaa ya maonesho, muziki, madhabahu kupambwa na mithili ya nyumba za disko na kupoteza tofauti wanayokutana nayo kwenye majukwaa ya kidunia.

Anyway, kama sio Mkatoliki ukijichanganga kufatilia debate na hizo movement za watu wanaobadilika tena wengi wakiwa ni Pastors, wainjilisti n.k utajikuta na wewe unaanza kuvutika kuchunguza kweli za imani yetu ya Kikristo.

Nafikiri huo upepo ukianza kuja huku tutashangaa prominent pastors waki Bongo wanafunga makanisa na kuwa walei wa Kikatoliki. Let us watch and pray!
mshikaji wangu chatgpt kakausha hii habari,kindly provide your source
 
Wakuu,
Huko ulaya na hasa Marekani kuna pastors wengi na vijana wengi wanaojiunga na Kanisa Katoliki kuliko wakati wowote.

Ajabu kubwa wengi hakuna aliyewahubiri wabadilike bali ni kwa utafiti wao wa kina hasa historia ya kweli ya Kanisa na mafundisho ya mababa wa kale wa Kanisa na maandiko matakatifu

Ukitaka kujua kwamba sasa hii movement si kitu kidogo tena nenda youtube na fatilia ushangae kinachoendelea. Hata mainstream media zinatangaza kuwa kuna ongezeko la ajabu hadi kwenye mahudhurio ya misa kwenye makanisa mengi Marekani.

Moja ya sababu ambayo baadhi ya Gen Z wameitoa kuhamia Kanisa Katoliki ni makanisa mengi ya kileo kugeuka kuwa majukwaa ya maonesho, muziki, madhabahu kupambwa na mithili ya nyumba za disko na kupoteza tofauti wanayokutana nayo kwenye majukwaa ya kidunia.

Anyway, kama sio Mkatoliki ukijichanganga kufatilia debate na hizo movement za watu wanaobadilika tena wengi wakiwa ni Pastors, wainjilisti n.k utajikuta na wewe unaanza kuvutika kuchunguza kweli za imani yetu ya Kikristo.

Nafikiri huo upepo ukianza kuja huku tutashangaa prominent pastors waki Bongo wanafunga makanisa na kuwa walei wa Kikatoliki. Let us watch and pray!
Hawa jamaa wananikosha hata Mimi, kwao pombe na sigara ruksa, mambo ya kumngoja mito ya Pombe huko peponi yanachosha!
Ngoja nami huo upepo unipitie ni enjoy visungura.
 
Movement ya Wakatoliki kuhama ni ya weak Catholics lakini Protestant wanakuja watu waliochimba vitu kwelikweli na wengi ndio Catholic apologists na wanachangia sana kufungua watu macho.

Ni vizuri ukafanya utafiti mwenyewe ili ujue nini kinaendelea maana sasa kinateka hadi media kubwa.
Weak catholics ndio wakoje?
 
Si kweli , katoliki naona hawahami ukatoliki lakini kuna mambo saivi wanafanya mpaka unashangaa Hawa ni wakatoliki . Naongelea hasa hapa Tanzania.
Wakatoliki saivi wananena kwa lugha na kuhubiri kama protestant na wanaamini ujazo wa roho mtakatifu.
Nilishangaa nikaona maajabu niliuliza nikaambiwa ni krastimatiki kitu kama icho
 
Back
Top Bottom