Kuna upepo wa prominent Protestant converting to Catholicism! Nini kinatokea?

Ni kweli USA Gen wameonesha mwitikio sana wa dini na makanisa yanajaa na hiyo movement ya kuhamia Katoliki ni kweli na hata Anglican wengi wanahamia Katoliki.
Kanisa ni moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
 
Hao wanaonena ni wangp ni wachache mno na bado wanafuata misingi ya ukatoliki otherwise wahame.....
 
Katika kanisa ambalo siwezi kusali ni katoliki huku kwingine nikishindwa jumapili yangu nitaitumia kulala usingizi
Kwanini?wana nini au walikufanya nini?

Anyway ni kama Mkatoliki umwambie leo akanunue maji au udongo kwa 100K kutoka kwa mchungaji hawezi kuelewa hilo jambo so sikulaumu.
 
Hao wanaonena ni wangp ni wachache mno na bado wanafuata misingi ya ukatoliki otherwise wahame.....
Ni wachache ndio, zamani kabisa haikuepo hii kitu ndani ya katoliki na ilikua inaonekana kama uchizi lakini kwa sasa tayari ishaingia ndani ya katoliki .
Muda si mrefu itaenea zaidi lakini sijawahi kuona protestant akihama kwenda Catholic.
 
wapo baadhi wanaohamia roman hilo halina ubishi either kupitia ndoa ama matakwa yao binafsi....

Ni ngumu karisimatiki kuenea km hivyo watu wanaijua Ila hawana muda nayo....... Ndiyo maana zaidi ya miaka 30+ ina wafuasi wachache bado !!!!! Shida karisimatiki wanajikuta they are superior and perfect thus they are not accepted accordingly buddy
 
Hata Uingereza, maaskofu na mapadre wengi wa Kanisa la Angikana wamebadilika na kuwa wakatoliki:

Total Converts: Around 700 former clergy and religious from the Church of England, the Church in Wales, and the Scottish Episcopal Church have been received into the Catholic Church. [1] (https://archsa.org/a-third-of-recen...-are-anglican-converts-report-shows/)Ordained Catholic

Priests: An estimated 491 of these converted individuals went on to be ordained as Roman Catholic priests. [1] (https://drgavinashenden.substack.co...lic-priests-in-england-are-anglican-converts-
 
Kwanini?wana nini au walikufanya nini?

Anyway ni kama Mkatoliki umwambie leo akanunue maji au udongo kwa 100K kutoka kwa mchungaji hawezi kuelewa hilo jambo so sikulaumu.
Hakuna walichonifanya basi tu ibada zao huwa sielewi. Na hata hayo makanisa wanayonunua udongo na maji pia siwezi kusali. Kifupi nina listi ndefu, nimetaja katoliki kwa sababu ndio inayozungumziwa hapa
 
Usijichanganye ukafatilia hao Catholic converts huko YouTube! Utaanza kusali nakuhakikishia. Acha wewe walau una imani. Kuna atheist maarufu huko YouTube nae kaingia kwenye Ukatoliki.
 
Ulaya na america vijana hawana mpango na dini, wanasubiri wakizeeka ndio wanatimba chachi.
 
Huko ulaya makanisa yanageuzwa baa
 
Lini papa ameruhusu ushoga
Kanisa linafuata biblia na hakuna kwenye biblia ushoga umerusiwa

Unapenda kujifurahisha na mambo ambayo hayakuongezei kitu
Kaka wangekuwa wanafata biblia wala wasingepata uhuru wa kuanza kujadili ushoga kama uruhusiwe ama la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…