Kuna upepo wa prominent Protestant converting to Catholicism! Nini kinatokea?

Hao mashoga waliruhusiwa na kanisa kubarikiwa kwenye nini?
 
Hao mashoga waliruhusiwa na kanisa kubarikiwa kwenye nini?
Baba anaweza mbariki mtoto wake haimanishi ana dhambi au hana

Kazi ya kuhukumu ni kazi yake Mungu peke yake.

Hivyo kanisa limekiwa likijitenga na watu aina hii wawe mashoga, majambazi, nk. Kifupi watu ambao wanaishi katika misingi ya dhambi

Hivyo baadae kanisa limebadilisha mtazamo wake baada ya mabishano ya mda mrefu sasa hivi kanisa linabariki yeyote hata jambazi kwa sababu hata sadaka za makahaba mbona zinapokelewa haijalishi uliua ukapata hela

Hivyo Yesu alisemwa sana na wafarisayo. Kipindi kile alizunguka na kushinda na watu wa wanaoonekana wa hovyo, akawabariki. Yesu alizungukwa na masikini wa kutupwa, wagonjwa, watoza ushuru, makahaba... alisema kuwa amekuja kwa ajili ya watenda dhambi walio safi hana kazi nao

Hivyo kanisa kupitia mfano huu linawaombea, linawapa baraka baadhi, pia linatembelea majambazi mpaka yanayosubiri kunyongwa, linawapa misamaha baada ya kutubio na kuwapa sacrament.....

Hata usishangae
 
Good protestants become Catholic, Bad Catholics become protestant.
... and once they become good they go back to Catholicism. If your principle is true, which of the two sides is better?
 

The Doctrine of faith aims to include not separate.

Who am I to judge. ...?

Yote hata alisema Pope Fransis kwa maana nzuri sana ila wanao support ushoga ndio huwa wanapotosha kutafuta credit
 
The Doctrine of faith aims to include not separate.

Who am I to judge. ...?

Yote hata alisema Pope Fransis kwa maana nzuri sana ila wanao support ushoga ndio huwa wanapotosha kutafuta credit
Akili ya mtu kifungo sana hata umweleze ukweli ataona anachotaka

Kuna siku jirani aliniona nafumga geti na funguo wakati natoka. Hii yote ni kwa sababu komea linaangalia nje ukitoa kisu unafungua. Nikaona bora tuwe tunafunga isiwe kesi

Basi bwana, jirani katangaza mtaa mzima kuwa ninawafungia mke na watoto ndani.

Kusikia wala sikuchukia kwa sababu no mtani wangu nikamweleza nyumba kila kitasa Kings zina funguo tano, mke wangu ana yake, hata kwa mama mzazi nimeacha funguo na nikamwonyesh

Lakini nikaja kukuta anamwambia mwingine kuwa huwa nawafungiq familia ndani. Nilichoka

Siku wife anatoka akafunga geti anamwambia wewe na wewe leo umeamua umfungie mwenzako ndani sio vizuri

Mtu kama huyu anaamini anachotaka kuamini ni chura kiziwi. Usipoteze nguvu bure wengine wako hivyo
 


Kwa kweli na ndio maana Kanisa Katoliki huwa halina muda kujibu hoja nyepesi nyepesi huwa lina wapuuza. (In Dr. Slaa tune)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…