Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke lakini Mume na Mke hakuna usawa

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam shalom!!!

Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,

Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume.

Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume.

Mungu aliwaumba mwanamke na Mwanaume Kwa Mfano wake ( Mwanzo 1:27),

Mtu Mwanaume na mtu mwanamke katika mwanzo 1:27 ni ROHO, Si katika mwili.

Mwnzo chapter 2, Baada ya Mungu kumwuumba Adam Kutoka mavumbi ya ardhi na kuishi miaka lukuki bila msaidizi,

Ndipo Mungu akaona amletee msaidizi.

Baada ya kuamka Toka usingizini, Adam akakutantayari ameletewa msaidizi, ndipo akasema, Utaitwa Mke, sababu umetoka katika mifupa yangu.

Ewe mwanamke, unazo HAKI zote kama Mwanaume katika nyanja mbalimbali Kijamii ,kiuchumi, kisiasa, nk nk,

Ukipiga hatua na kuingia katika NDOA, jua hapo hakuna usawa ,chumbani ni ofisi ingine kabisa yenye Utaratibu wake.

Chumbani hakuna usawa, mahusiano ya mke na mume ni mahusiano kati ya mtu na msaidizi wake, lazima ukubali kuongozwa, kutekeleza na kubaki na nafasi Yako ya usaidizi, ushauri,ukitii maagizo ya mumeo kiongozi wako Ili familia yenu Ipate KUSTAWI sana.

Ukikaa katika nafasi Yako, ndipo utaona Upendo Kutoka Kwa mumeo.

Angalizo: Mume anayeongelewa hapa, Si Hawa wenye kushinda betting, Si Hawa wachagua KAZI, walevi nk nk ,

NDOA na iheshimiwe na watu wote.

Amen
 
Hilo angalizo lako ongeza na wale wanaume wasio fanya au kujua mke anapaswa afanyiwe nini sio kumuweka ndani na yeye mwanaume kazi yake kumsengenya mkewe Kwa ndugu zake, kila mke analomwambia anapelekea mama yake na dada zake badala yakulifanyia kazi anakuwa kama choko tu
 
Pole sana.

Imeandikwa mume na mke watawaacha wazazi wao Kisha kuwa mwili mmoja wajenge nyumba Yao.

Mungu awasaidie muwe na kwenu, wazazi wa pande zote mbili wasaidiwe lakini wasiruhusiwe kuingilia NDOA .

Tafuta marafiki waliookoka Walio katika NDOA Walio waaminifu ombeni pamoja Ili Mungu aimarishe NDOA zenu.

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam shalom!!!

Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,

Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume.

Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume.

Mungu aliwaumba mwanamke na Mwanaume Kwa Mfano wake ( Mwanzo 1:27),

Mtu Mwanaume na mtu mwanamke katika mwanzo 1:27 ni ROHO, Si katika mwili.

Mwnzo chapter 2, Baada ya Mungu kumwuumba Adam Kutoka mavumbi ya ardhi na kuishi miaka lukuki bila msaidizi,

Ndipo Mungu akaona amletee msaidizi.

Baada ya kuamka Toka usingizini, Adam akakutantayari ameletewa msaidizi, ndipo akasema, Utaitwa Mke, sababu umetoka katika mifupa yangu.

Ewe mwanamke, unazo HAKI zote kama Mwanaume katika nyanja mbalimbali Kijamii ,kiuchumi, kisiasa, nk nk,

Ukipiga hatua na kuingia katika NDOA, jua hapo hakuna usawa ,chumbani ni ofisi ingine kabisa yenye Utaratibu wake.

Chumbani hakuna usawa, mahusiano ya mke na mume ni mahusiano kati ya mtu na msaidizi wake, lazima ukubali kuongozwa, kutekeleza na kubaki na nafasi Yako ya usaidizi, ushauri,ukitii maagizo ya mumeo kiongozi wako Ili familia yenu Ipate KUSTAWI sana.

Ukikaa katika nafasi Yako, ndipo utaona Upendo Kutoka Kwa mumeo.

Angalizo: Mume anayeongelewa hapa, Si Hawa wenye kushinda betting, Si Hawa wachagua KAZI, walevi nk nk ,

NDOA na iheshimiwe na watu wote.

Amen.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii.

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
 
Pole sana.

Imeandikwa mume na mke watawaacha wazazi wao Kisha kuwa mwili mmoja wajenge nyumba Yao.

Mungu awasaidie muwe na kwenu, wazazi wa pande zote mbili wasaidiwe lakini wasiruhusiwe kuingilia NDOA .

Tafuta marafiki waliookoka Walio katika NDOA Walio waaminifu ombeni pamoja Ili Mungu aimarishe NDOA zenu.

Ubarikiwe 🙏
Imebidi nicheke tu nimeshindwa hata nijibu nini!
 
Back
Top Bottom