Kuna ushahidi wowote wa kimazingira kuwa gharika ya Nuhu ilitokea?

Gharika ya Nuhu imeacha ushahidi wowote duniani?
View attachment 3594923
Kulingana na makubaliano ya kisayansi duniani, hakuna ushahidi wa kijiolojia au wa kimazingira unaounga mkono kuwepo kwa gharika iliyofunika dunia nzima kwa mara moja kama inavyoelezwa katika masimulizi ya Safina ya Nuhu. Hata hivyo, wanasayansi na waakiolojia wamegundua ushahidi mkubwa wa mafuriko makubwa ya kikanda katika maeneo ya Mashariki ya Kati ambayo huenda yalileta msukumo wa hadithi hii.
 
Kivipi upinde wa mvua unakuwa kama ushahidi kuwa gharika ya Nuhu ilipata kutokea?

Mwanzo 9:13-15 BHN​

BHNSUVNenoSRUV
Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia. Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka kuwa gharika ya kuviangamiza viumbe vyote hai.

Maana yake Mungu aliahidi kutoiangamiza tena dunia kama mwanzo, mnabishanaga bila kusoma maandiko ilimradi tafrani tu!
 
Je umeshawahi kuona upinde wa mvua saa sita mchana au nyakati za usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…