Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
I miss you so much
I miss you so much
Kuna watu na viumbe vili survive. Na ndio utagundua hii story ni ya kibiblia zaidi/kiroho kuliko kisayansi. Au inaweza kuwa ilitokea tu kwenye eneo fulani pekee sio dunia nzima.Hakuna kiumbe chochote ambacho kilibaki hai baada ya lile tukio kwa maana maji yalikaa juu ya ardhi siku 150, so ni kweli hata hao samaki yawezekana walikufa.
Hata hivyo, wanasayansi na waakiolojia wamegundua ushahidi mkubwa wa mafuriko makubwa ya kikanda katika maeneo ya Mashariki ya Kati ambayo huenda yalileta msukumo wa hadithi hii.Kulingana na makubaliano ya kisayansi duniani, hakuna ushahidi wa kijiolojia au wa kimazingira unaounga mkono kuwepo kwa gharika iliyofunika dunia nzima kwa mara moja kama inavyoelezwa katika masimulizi ya Safina ya Nuhu. Hata hivyo, wanasayansi na waakiolojia wamegundua ushahidi mkubwa wa mafuriko makubwa ya kikanda katika maeneo ya Mashariki ya Kati ambayo huenda yalileta msukumo wa hadithi hii.
Duniani kote kuna mafuta,Mafuta ni matokeo ya fossils.
Kwakuwa gharika lilitokea middle east
Na binadamu wa mapema walikuwa huko that's why hizo nchi zina mafuta sana-sehemu ya ushahidi