Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ambao nao vijana wa ovyo wamekuja kuibua maana zao nyingine, baada ya miaka kadhaa hii historia ya upinde kuwa agano la Mungu kwa mwanadamu...itafutika.Ushahidi moja wapo uliopo mpaka leo ni upinde wa mvua.
Oyaah ndege eeh, niache!Ukiwa umekaa wapi? Upande gani?
Hakuna kitu kama hicho, mna exaggerate mambo tuWeka maji mdomoni wakati wa jua halafu yateme kwa kuyasambaza kwa kasi , huo upinde utauona je ni ahadi kuwa hayo maji uliyoyaweka mdomoni hayataleta mafuriko?
Hakuna kitu kama hicho kivipi na wapi nime exaggerate hiyo ni sayansi darasa la tatu kitabu cha kiada.Hakuna kitu kama hicho, mna exaggerate mambo tu
Nilika kusema hivi 😂🤣.Weka maji mdomoni wakati wa jua halafu yateme kwa kuyasambaza kwa kasi , huo upinde utauona je ni ahadi kuwa hayo maji uliyoyaweka mdomoni hayataleta mafuriko?
OkHakuna kitu kama hicho kivipi na wapi nime exaggerate hiyo ni sayansi darasa la tatu kitabu cha kiada.
Haya majaribio ya kutengeneza upinde kwa hiyo njia tumeyafanya tukiwa watoto
Niache!!
Unajua hawa watu waliutunga bibilia wanatuona sisi ni watoto.Haya majaribio ya kutengeneza upinde kwa hiyo njia tumeyafanya tukiwa watoto
Leo utanielewa tu!Niache!!
Kwa zamani hizo waliwashika waliokuwepo ila mpaka karne hii mtu anashikwa na hayo maandishi ni jambo la kushangaza sana.Unajua hawa watu waliutunga bibilia wanatuona sisi ni watoto.
Sitakii😝Leo utanielewa tu!
Cha kushangaza ni kwamba idadi ya wanaoshikwa inazidi kuongezeka kwa spidi ya ajabu.Kwa zamani hizo waliwashika waliokuwepo ila mpaka karne hii mtu anashikwa na hayo maandishi ni jambo la kushangaza sana.
Maeneo kama jangwani au juu milimani hayaonyeshi ushahidi kuwa yamewahi funikwa na maji?Mpaka upate hali ya dunia kabla ya gharika ili tulinganishe
Utaipenda bure 😎.Sitakii😝
Wala hawashikwi ni unafki tu, wakingekua wanashikwa kweli wangefanya hata robo ya yale waliyonyimwa wasifanye kwenye hivyo vitabuCha kushangaza ni kwamba idadi ya wanaoshikwa inazidi kuongezeka kwa spidi ya ajabu.
Hakuna aliyekuwepo kabla na baada ya gharika, ni stori tu za sungura na fisiGharika ya Nuhu imeacha ushahidi wowote duniani?
View attachment 3594923
Sasa wanamnafikia nani? Wapuuzie kweli kweli hawa.Wala hawashikwi ni unafki tu, wakingekua wanashikwa kweli wangefanya hata robo ya yale waliyonyimwa wasifanye kwenye hivyo vitabu
Kisayansi ni ngumu kuthibitisha hilo kwa maana kwa mujibu wa maandiko ni kama dunia nzima ilijazwa na maji and if so basi lazima katika point fulani duniani kote kungekua na layer fulani ya aina moja au yenye tabia zinazofanana yenye kuonesha kwamba kweli Dunia ilikumbwa na hilo tukio katika wakati mmoja.