zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kisayansi, ushahidi wa magharika upo hata magharika yaliyotokea enzi za dinosaurs miaka mamilioni yaliyopita upo ila hakuna ushahidi wa kuwepo gharika lililotokana na mvua kubwa iliyonyesha dunia nzima kwa wakati mmoja. Hivyo inawezekana kuna gharika lilipiga eneo dogo tu ambalo binadamu wengi waliishi enzi hizo ndio ikazaliwa story ya Noahs ark.Dunia ina zaidi ya miaka bilioni 4.5 so kuwa na traces kwa miaka elfu 6 iliyopita ni ngumu kwasababu hata vitu villivyotokoea mwaka 1800 hatuna labda kidogo mwaka 1900 na kuendelea.
Upinde unahusiana vipi na gharika?Ushahidi moja wapo uliopo mpaka leo ni upinde wa mvua.
Radiometric dating ipo accurate. Inaangalia process za layers ya miamba kuoza.wewe umejuaje ikiwa kweli dunia ina miaka 4.5B kama si hadithi za hao hao wazungu na waarabu?
Maandiko sio ushahidi wa kisayansi, biblia ni kwa ajili ya mambo ya kiroho sio kisayansi ndio maana kuna watu walifufuliwa ilihali kikawaida haiwezekani. Mfano mwandishi wa kitabu cha Mwanzo anasema Mungu alitenganisha maji mengine yakabaki duniani kama bahari na mengine yakawekwa angani (sio mawingu) je ni kweli?Mwanzo 9:13-15 BHN
BHNSUVNenoSRUV
Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia. Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka kuwa gharika ya kuviangamiza viumbe vyote hai.
Maana yake Mungu aliahidi kutoiangamiza tena dunia kama mwanzo, mnabishanaga bila kusoma maandiko ilimradi tafrani tu!
Sawa mtumishiMaandiko sio ushahidi wa kisayansi, biblia ni kwa ajili ya mambo ya kiroho sio kisayansi ndio maana kuna watu walifufuliwa ilihali kikawaida haiwezekani. Mfano mwandishi wa kitabu cha Mwanzo anasema Mungu alitenganisha maji mengine yakabaki duniani kama bahari na mengine yakawekwa angani (sio mawingu) je ni kweli?
Usichanganya bible na science
Gharika ya Nuhu haikuwahi kotukea kwa sababuKisayansi ni ngumu kuthibitisha hilo kwa maana kwa mujibu wa maandiko ni kama dunia nzima ilijazwa na maji and if so basi lazima katika point fulani duniani kote kungekua na layer fulani ya aina moja au yenye tabia zinazofanana yenye kuonesha kwamba kweli Dunia ilikumbwa na hilo tukio katika wakati mmoja.
Now ushahidi uliopo mwingi inaonesha ukanda mmoja tu na wala sio Dunia nzima.
Ila pia kuna hoja ya kwamba baada ya tukio hilo Dunia ni kama ilijireset na kurudi ikiwa kwenye hali ya tofauti coz hata pores zilibadilika kutoka kwenye ule uumbaji wa awali, kwahiyo kinachoonekana ndicho tulichoanza nacho sisi ila hapo kabla Dunia ambavyo ilikua hatujui.
Kwa maana hiyo basi, hiyo hoja ya ushahidi wa kikanda inawezekana iko na ukweli endapo kama baada ya lile tukio dunia ilibadilika mazima, kwa maana hayo mabadiliko inawezekana yalileta nyongeza fulani ambazo mwanzo hazikuwepo, ndio maana by default utaona now kuna hatihati ya bara la Africa kugawanyika kwa maana bahari itaenda kuligawa katika pande mbili, lakini si tu mara la Africa ila kuna visiwa vingi ambavyo miaka mingi ijayo havitaendelea kuwepo, kwa maana dunia inajirudi kwenye ile hali yake ya asili kutoka kwenye ule uumbaji wa awali.
Kwahiyo ni ngumu kusema kwamba ni tukio ambalo liliwahi kutokea kweli au halikuwahi kutokea kwasababu katika upande wowote utakaousimamia katika mjadala huu ni ngumu kufikia muafaka ambao Kila mtu atatoka ameridhika nao.
MkuuKivipi upinde wa mvua unakuwa kama ushahidi kuwa gharika ya Nuhu ilipata kutokea?
😂🤣😄😀😁🤪😎😃😅UbayaNi stori za kutishia watu ili wapate chochote kitu ( sadaka na zaka) hao matapel ( wachungaj,padre na manabii)
Ni sawa ila ushahidi wa kisayansi ndio nini? Maana ushahidi wa kisayansi usipokuwepo haimaanishi kitu hakipo au hakijawahi kuwepo kwasababu sayansi yenyewe ni history iliyokataa kuwa historia.Gharika ya Noah haikuwahi kotokea kwa sababu
1. Hakuna ushahidi wowote wa Kisayansi
2. Hakuna maji ya kutosha duniani kutengeneza gharika ya kufunika hadi milima( gharika ya aina hiyo inakadiriwa ingehitaji maji mara nne ya yaliyopo duniani)
3. Isingewezekana wanyama wote wanaosemwa kuwekwa kwenye safina kutoka kote duniani
4. Samaki wote wangekufa baada ya maji baridi na maji chumvi kuchanganyikana.
Unaweza kuachana na maneno ushahidi wa Kisayansi badala yake iwe hakuna ushahidi "wowote".Ni sawa ila ushahidi wa kisayansi ndio nini? Maana ushahidi wa kisayansi usipokuwepo haimaanishi kitu hakipo au hakijawahi kuwepo kwasababu sayansi yenyewe ni history iliyokataa kuwa historia.
Maji ya dunia hayatoshi inawezekana ni kweli ila hilo gharika halikuletwa na maji ya dunia isipokua hilo andiko ukilisoma linasema mvua ilinyesha usiku na mchana ndani ya siku 40 katika kiwango kile kile.
Hapo kwenye wanyama pia huwezi kusema haiwezekani moja kwa moja kwa maana kuna watu wako na zuu zenye wanyama kadha wa kadha na Mimi na wewe hatujui hiyo safina ilikua na ukubwa gani.
Hakuna kiumbe chochote ambacho kilibaki hai baada ya lile tukio kwa maana maji yalikaa juu ya ardhi siku 150, so ni kweli hata hao samaki yawezekana walikufa.
😁😁😁Mpaka upate hali ya dunia kabla ya gharika ili tulinganishe
Mizengo pinda, Kawa mrefu hadi kapinda, anatembea kwa kudunda, kisa ubunge kashinda, watoto wake kashindwa kuwafunda, yaani kuwalea kawashinda, ndo maana wamepinda, sasa 'wanaitwa upinde'......Mkuu
Upinde Yaani Ukipindwa Pindika Kama Hiyo
Billion 18 kijanaDunia ina zaidi ya miaka bilioni 4.5 so kuwa na traces kwa miaka elfu 6 iliyopita ni ngumu kwasababu hata vitu villivyotokoea mwaka 1800 hatuna labda kidogo mwaka 1900 na kuendelea.
Weka source yako mkuu.Billion 18 kijana
Usimtese sana, atafute Spray pump kama zile za Salon atie maji upulize hivyo kuelekea usawa wa mwanga wa jua afu aobserve mchongo wa Nuhu.Weka maji mdomoni wakati wa jua halafu yateme kwa kuyasambaza kwa kasi , huo upinde utauona je ni ahadi kuwa hayo maji uliyoyaweka mdomoni hayataleta mafuriko?