Kuna ushahidi wowote wa kimazingira kuwa gharika ya Nuhu ilitokea?

Kitu wasichojua watu wa dini, Mungu anaesemekana kuwepo mbinguni ni wa Israel tu na alitamba sana mataifa machache ya pale Mashariki ya kati na kanda kadhaa za jirani. Hivyo anapoizungumzia dunia nzima anazungumzia hayo mataifa machache alioyatikisa kiimani na sio Dunia nzima tunayoijua leo. Hivyo kama hayo mafuriko yalitokea dunia nzima ni hiyo dunia ya Mashariki ya kati aliyowika yeye enzi zake.
 
wewe umejuaje ikiwa kweli dunia ina miaka 4.5B kama si hadithi za hao hao wazungu na waarabu?
Mkuu ulipitia kidogo somo la kemia(Chemistry) la form 2? Ebu pitia vitu vinavyoitwa isotopes ,half life etc carbon14 ,uranium ,potassium zinavyoweza kupima umri wa mabaki(vitu).
 
Stori za kutungwa na watu.. ukiwa na akili timamu wala haziwezi kukuingia akilini..
Just imagine nyenyere nae alikimbilia kwenye safina(jike na dume)
 
Sawa, bilioni 13.8 ndio umri wa ulimwengu wote, sio dunia.

Miaka Bilioni 13.8 = Umri wa Ulimwengu
Huu ndio muda uliopita tangu Big Bang – mlipuko ulioanza nafasi, muda, na kila kitu.

Tumejuaje ni bilioni 13.8 hasa?
Wanasayansi wamepima kwa njia 3 kuu:

1. Mionzi ya Nyuma ya Ulimwengu – Cosmic Microwave Background
Satelaiti ya Planck ilipima "mwangwi" wa Big Bang uliobaki. Kama kupima joto la chakula kujua kimepikwa lini.

2. Kasi ya Kutanuka kwa Ulimwengu – Hubble Constant
Galaxy zinakimbia kutoka kwetu. Ukipima kasi yao na umbali, unaweza kurudisha filamu nyuma ujue ilianza lini.

3. Nyota Kongwe Zaidi
Nyota za zamani kabisa kwenye Milky Way zina miaka bilioni ∼13.2 – 13.5. Ulimwengu hauwezi kuwa mchanga kuliko nyota zake.

Ratiba ya Bilioni 13.8:
Muda Baada ya Big Bang****Tukio
Sekunde 0Big Bang inatokea
Dakika 3Atomu za kwanza za Hydrogen na Helium
Miaka 380,000Nuru ya kwanza inatoka – hiyo ndio CMB tunayopima
Miaka milioni 200Nyota za kwanza zinawaka
Miaka bilioni 9.2Jua letu na Dunia zinaumbwa
Miaka bilioni 13.8*Sasa hivi* – 2026
Kwa hiyo:
  • Dunia: miaka bilioni 4.54
  • Ulimwengu: miaka bilioni 13.8

Dunia ni mtoto mdogo. Ilizaliwa ulimwengu ulipokuwa tayari na miaka bilioni 9.2.

Unataka nikuwekee picha ya ratiba nzma ya ulimwengu tangu Big Bang?
 
Ushahidi kwa kisayansi upo.kwanza nia ya Gharika enzi za Nuhu ni kuua giants waliotokana na watoto wa Mungu yaani Malaika waasi kuzaa na binadamu.Leo hi kuna mabaki ya hao giants yaliyopatikana maeneo mbalimbali kitu kinachothibitisha post flood life.
 
Ulete huo ushahidi
 
Ushahidi pekee ni upindi wa mvua

Hakuna sayansi inayoelelezea kinagaubaga kwanini unatokea zaidi ya nadharia nyingi zisizo na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…