Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Samahani Mkuu una muda gani kwenye hii tasnia ya brog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa na jamaa humu anajiita SIJUTI baadaye akaanza kujiita Babu Kijiwe. Alikuwa na blog yake inaitwa Kijiwe Cha Wasomi, bahati nzuri alianzisha wakati ambao blog hasa za Ajira zilikuwa chache sana, alikuwa anapata visitors mpaka 200,000 kwa siku!
Umetemgeneza mwenyewe au ulimpa mtu kazi atengeneze na ukamlipa? Natamani sana hii kituNimekamilisha juzi kutengeneza blog yangu
Hii sekta ni ngumu sana, sijui hayo matangazo tunayaomba vip[emoji3460]
Online kuna pesa sana hasa kwa kwetu Tanzania ambapo wengi bado hawana uelewa wa hayo mambo hivyo kufanya ushindani kuwa mdogo na was kawaida.
Anzisha huduma yoyote, ipeleke online kisha cheza na SEO (Search engine optimization) kibongo bongo ukiwa serious utauza sana.
Jiongeze weka na Adsense kwenye blog yako.
Ukicheki comment nyingi hapo juu inadhihirisha kabisa bongo watu bado wamelala kifikra hasa katika kutumia fursa za mtandao.
Wengi watashtuka too late.
Wabongo wengi wanatumia kiswahili. Adsence hawataki blog za kiswahili, je utamonetize vp content zako za kibongo? Maana hata ukiweka affiliate products wabongo ni wazito sana kununua onlineOnline kuna pesa sana hasa kwa kwetu Tanzania ambapo wengi bado hawana uelewa wa hayo mambo hivyo kufanya ushindani kuwa mdogo na was kawaida.
Anzisha huduma yoyote, ipeleke online kisha cheza na SEO (Search engine optimization) kibongo bongo ukiwa serious utauza sana.
Jiongeze weka na Adsense kwenye blog yako.
Ukicheki comment nyingi hapo juu inadhihirisha kabisa bongo watu bado wamelala kifikra hasa katika kutumia fursa za mtandao.
Wengi watashtuka too late.
huwezi kuelewa chochote kama hujui blogging, rudi kwenye biashara ya maembe utaelewa 😂😂 (utani)Hueleweki unachokiongea
Kuna kipindi blogs za ajira zilikuwa chache sana, aisee watu walioweka matangazo walipiga vibunda acha kabisa.Kulikuwa na jamaa humu anajiita SIJUTI baadaye akaanza kujiita Babu Kijiwe. Alikuwa na blog yake inaitwa Kijiwe Cha Wasomi, bahati nzuri alianzisha wakati ambao blog hasa za Ajira zilikuwa chache sana, alikuwa anapata visitors mpaka 200,000 kwa siku!
Alikuwa anakunja mpaka $99 kwa siku. Sasa hivi hali Ni yet, ameshatelekeza blog, hazi ku-renew Domain ameshindwa, naona inauzwa😀
Wazee wa vibunda vya 4M, 3M, 10M kwa mwezi kina mazagazagaa, algorithm, naona kimya sana. Possibly tricks zimefail?
Ila huyu Kijiwe naona alianza kuagiza magari, labda no pesa za AdSense aka kubadili biashara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dollar 20mil kwa mwezi, acha tu izi chapati ntakula ata na soda
Hii SEO Unacheza nayo vip mkuuOnline kuna pesa sana hasa kwa kwetu Tanzania ambapo wengi bado hawana uelewa wa hayo mambo hivyo kufanya ushindani kuwa mdogo na was kawaida.
Anzisha huduma yoyote, ipeleke online kisha cheza na SEO (Search engine optimization) kibongo bongo ukiwa serious utauza sana.
Jiongeze weka na Adsense kwenye blog yako.
Ukicheki comment nyingi hapo juu inadhihirisha kabisa bongo watu bado wamelala kifikra hasa katika kutumia fursa za mtandao.
Wengi watashtuka too late.
Njoo nikifundishe kutengeneza ,nipate ya maji ya kunywa mwee.Umetemgeneza mwenyewe au ulimpa mtu kazi atengeneze na ukamlipa? Natamani sana hii kitu
Kama utahitaji ya kwako nicheki nikuelekezekama kuna mtu ana blog,anahitaji mtu wa kusaidiana nae kuandika naomba anicheki PM