Kuna utajiri mkubwa wa kusaka dola za Adsense online lakini sasa...

Kuna utajiri mkubwa wa kusaka dola za Adsense online lakini sasa...

Kati ya njia ya kishamba na outdated ya kumonetize blogs & websites ni kupitia matangazo ya google AdSense. Siku hizi kuna software za adblocking
AdSense Ni biashara kubwa ya Google, kwahiyo unataka kusema Google waachane na hiyo biashara kwamba hailipi tena?
 
Kwa wale wanaihitaji kujifunza kutengeneza hayo mablog yenu ,mnicheki niwaelekeze nashida na pesa ya vitafunwa.
Alaf sky soldier atawapa hizo tricks zake
mimi nina kibarua mpenzi,nipo busy sana kiasi kwamba muda wa kuendesha blog sina,ila nina interest na uandishi,nikipata mtu mwenye blog ntakuwa natupia mabandiko kadri ntakavyopata muda.
 
Kati ya njia ya kishamba na outdated ya kumonetize blogs & websites ni kupitia matangazo ya google AdSense. Siku hizi kuna software za adblocking
Sema wewe mwenyewe ndio mshamba.

hizo ad blocking wanaozitumia ni wachache sana, sana yani.

Tukija upande wa simu ambako kuna watumiaji wengi wa internet, google chrome ndio baba lao na huwa hairuhusu ad blocking, matangazo yanaonekana fresh kabisa, watu wanalaza mpunga.
 
Yani unaanza kwa kuwaza ela asubuhi hii? Duuh selaa utaweza mziki wa adsense kweli?
hata akipewa hayo matangazo yatamkatisha tamaa maana inaweza kupita hata miezi mitatu hapati hata hela ya bando la wiki.

Kwenye blog ni vema uipambanie iwe ni brand, watu waijue ama iwe inaonekana kwenye matokeo ya juu mtu akisechi kitu flani kwa google (seo), hapo watu wakianza kuzama kwenye blog ndio pesa hio, ila hivi hivi huambulii hata sentano hata blog iwe na mvuto.

Nakumbuka kuna msanii flani aliuziwa account ya youtube inayoruhusu matangazo ili awe analipwa, cha kushangaza mpaka leo ni miezi minane hajatoa pesa, views zake jumla ni kama elf 2, hapo sana sana ni kama buku 3 pesa taslimi na hio pesa haiwezi toka maana ndogo sana.

kwenye kundi la kwanza tengeneza jina, pesa itajileta.
 
Upo sahihi
 
Mie nasubiria karibu mwaka sasa niwe monetized na youtube na sion dalili. Hadi nguvu ya kutengeneza content imeniishia
 
Nimeisha fanya blogging, youtubing na apps, asee asikuambie mtu kazi ya blog ni ngumu, ngumu sana. Youtube nayo kama huna contents ni kazi bure. Kwenye apps ni kitonga unakula pesa za bure. Mimi nilikuwa naingiza sio chini ya milion 2 kupitia app yangu. Changamoto kubwa kwenye apps ni kitu kinaitwa Adlimit. Hapa ngoba nielezee kidogo, huwa najiunga na matangazo ya google yanaitwa ADMOB changamoto kubwa ya hii kampuni ni kuzuia matangazo yasitokee kwenye app yako sometimes bila sababu. Kiukweli inakatisha tamaa maana unaweza pokea pesa miez 2 mfurulizo mwezi unao kuja unapigwa adlimit tena sometimes hata kama unapesa hulipwi. Nilichokuwa nafanya natengeneza account nyingine ya admob. Ila kwa sasa nimejiongeza nimetengeneza platform ambayo inaweza pia kuwa ajira kwa vijana.
Kwa maelezo zaid tafadhali soma hapa chini

Naitwa Masaba C.E.O Linkpesa - Tengeneza pesa kupitia simu janja yako 🔥🔥LINK PESA🇹🇿🔥TANZANIA YA MOTO🔥🔥
▬▬▬✨✨✨▬▬▬
LINK PESA PLATFORM 📌
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
♦️AUTOMATIC ACTIVATIONS UKITUMA PESA ACCOUNT YAKO INAKUWA ACTIVE MUDA HUO HUO
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Ni platform ya AFFILIATE ya nchini Tanzania 🇹🇿

🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨

🎀📁UTARATIBU
▬▬▬▬▬▬
🍵Sajili account bure
🍵Activate kwa TZS 13000 TZS tu ili uweze kutengeneza pesa kwa njia zifuatazo

🎾💷 NJIA ZA KUTENGENEZA PESA KATIKA PLATFORM NJIA 5
▬▬▬▬▬▬

🏐🏆SHARE LINK (Affiliate)
Utapata pesa unapo share link kwa watu mpaka viwango vitatu
🥗Level1=7000
🥗Level2=3000
🥗Level3=1000
Ufafanuzi level 1 ni wewe unapo share link utalipwa 7000.

Level2 ni pale uliyemjoinisha anaposhare link wewe utalipwa 3000

na level3 ni pale mtu wako wa level 2 anapojoinisha mtu wewe utalipwa 1000

🏐🏆TAZAMA VIDEOS ZA YOUTUBE NA ULIPWE (kampuni letu linajikita sana kwenye matangazo ya videos za youtube hivyo utakuwa ukitazama videos za youtube tulizoweka katika dashboard yako na unapotazama utalipwa kila moja 100 hadi 500 tazama videos nyingi ulipwe zaidi 💥bando lako tu

🏐🏆PATA PESA KWA KUSHARE/KUVIEW/KUPLAY Ads za kampuni.
Tumeingia ubia na wafanya biashara tofauti tofauti watakao upload matangazo yao katika platform yetu ya LINK PESA . Wewe ukiview matangazo hayo utalipwa kila tangazo 10 hadi 500. Kumbuka matangazo haya utakuwa una view kila siku✨

🏐🏆BONUSES
✨PATA PESA KWA KULETA!/KUJOINISHA AU KWAKUWA NA TEAM NZURI INAYOFANYA KAZI. bonus zitatolewa kwa viongozi wa team mpaka mtu mmoja mmoja. Kuanzia 5000 mpaka 100,000/=

🏐🏆Uta tutumia link ya videos za channel yako ya youtube nasi tutakutangazia bure na tutazipitisha upate viewers na subscribers wengi
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🇹🇿🟪NO WITHDRAWALS FEE toa pesa yako lipwa kama ilivyo. Tozo tuachie sisi tuta deal nazo

✨✨✨✨✨✨✨✨
Imeletwa kwenu na kampuni ya MASABA AGENCIES.
▬▬▬▬▬▬
🎫JOIN AUTOMATIC PLATFORM 🟪🥗Usipitwe na hii.
__________________
KARIBU LINK PESA PLATFORM

BY CEO masaba🇹🇿🥗
▬▬▬▬▬▬
 
Kulikuwa na jamaa humu anajiita SIJUTI baadaye akaanza kujiita Babu Kijiwe. Alikuwa na blog yake inaitwa Kijiwe Cha Wasomi, bahati nzuri alianzisha wakati ambao blog hasa za Ajira zilikuwa chache sana, alikuwa anapata visitors mpaka 200,000 kwa siku!

Alikuwa anakunja mpaka $99 kwa siku. Sasa hivi hali Ni yet, ameshatelekeza blog, hazi ku-renew Domain ameshindwa, naona inauzwa😀

Wazee wa vibunda vya 4M, 3M, 10M kwa mwezi kina mazagazagaa, algorithm, naona kimya sana. Possibly tricks zimefail?

Ila huyu Kijiwe naona alianza kuagiza magari, labda no pesa za AdSense aka kubadili biashara
Hivi kuna wale watu kazi yao ni kupost vichekesho kama Mwaisa Mtu mbad,Yombo Msukuma,Mkude Simba na wenyewe huwa wanapiga hela au wanajiburudisha tu?
 
hata akipewa hayo matangazo yatamkatisha tamaa maana inaweza kupita hata miezi mitatu hapati hata hela ya bando la wiki.

Kwenye blog ni vema uipambanie iwe ni brand, watu waijue ama iwe inaonekana kwenye matokeo ya juu mtu akisechi kitu flani kwa google (seo), hapo watu wakianza kuzama kwenye blog ndio pesa hio, ila hivi hivi huambulii hata sentano hata blog iwe na mvuto.

Nakumbuka kuna msanii flani aliuziwa account ya youtube inayoruhusu matangazo ili awe analipwa, cha kushangaza mpaka leo ni miezi minane hajatoa pesa, views zake jumla ni kama elf 2, hapo sana sana ni kama buku 3 pesa taslimi na hio pesa haiwezi toka maana ndogo sana.

kwenye kundi la kwanza tengeneza jina, pesa itajileta.
Buku 3 kweli hakuna kazi rahisi uache kazi ufanye kazi😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom