Kuna utajiri mkubwa wa kusaka dola za Adsense online lakini sasa...

Huyu anasikia tu [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na jamaa humu anajiita SIJUTI baadaye akaanza kujiita Babu Kijiwe. Alikuwa na blog yake inaitwa Kijiwe Cha Wasomi, bahati nzuri alianzisha wakati ambao blog hasa za Ajira zilikuwa chache sana, alikuwa anapata visitors mpaka 200,000 kwa siku!

Alikuwa anakunja mpaka $99 kwa siku. Sasa hivi hali Ni yet, ameshatelekeza blog, hazi ku-renew Domain ameshindwa, naona inauzwa😀

Wazee wa vibunda vya 4M, 3M, 10M kwa mwezi kina mazagazagaa, algorithm, naona kimya sana. Possibly tricks zimefail?

Ila huyu Kijiwe naona alianza kuagiza magari, labda no pesa za AdSense aka kubadili biashara
 
Safi sana mkuu
Bandiko ni zuri na la manufaa kwa vijana
 
Nimekamilisha juzi kutengeneza blog yangu
Hii sekta ni ngumu sana, sijui hayo matangazo tunayaomba vip[emoji3460]
Umetemgeneza mwenyewe au ulimpa mtu kazi atengeneze na ukamlipa? Natamani sana hii kitu
 

[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Wabongo wengi wanatumia kiswahili. Adsence hawataki blog za kiswahili, je utamonetize vp content zako za kibongo? Maana hata ukiweka affiliate products wabongo ni wazito sana kununua online

Hzo blog za simba na yanga bado zitategemea CPC za wabongo ambazo unakuta ni $0.01 sasa utatoboa kweli?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
kama kuna mtu ana blog,anahitaji mtu wa kusaidiana nae kuandika naomba anicheki PM
 
Kuna kipindi blogs za ajira zilikuwa chache sana, aisee watu walioweka matangazo walipiga vibunda acha kabisa.

Siku hizi ushindani umeongezeka nahisi kuna blogs zaidi ya 100 zinapost ajira, tatizo la bloggers wengi wa zamani, pesa yote walikuwa wana spend, yani hata kusema afanye upgrade na development kwenye blog yake hana muda navyo.

Vijana huwa wanalewa sana zile dola, kufumba na kufumbua paaap!! hat kufikisha buku 2 kwa siku inakua kazi pevu.
 
Hii SEO Unacheza nayo vip mkuu
 
Kuna mmoja amepararaize upande mmoja baada ya kuishiwa na kufungiwa kwa kushtukizwa. Alikuwa anapiga Pesa nyingi akaishiwa kufumba na kufumbua.
Mkuu hakunahizo triki tupeane walau na sisi tushare hizo dola.


Niliwahi kufanya blogging kila Siku naweka content lakini viewshawazidi ishirini. Kwa bidii ile ningekuwa na mbinu ningefika mbali.
 
Huku mi mgeni japo naweza kushindana na nikashinda
Ila sijuag pakuanzia
 
Kati ya njia ya kishamba na outdated ya kumonetize blogs & websites ni kupitia matangazo ya google AdSense. Siku hizi kuna software za adblocking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…