round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Aina hii ya watu hutofautiana kivipi ?
Hizo hali siizpendi kabisa, nazichukia sana ila sina namna kabisa ya kutoka huko aisee.Aina hii ya watu hutofautiana kivipi ?
Pole mkuuHizo hali siizpendi kabisa, nazichukia sana ila sina namna kabisa ya kutoka huko aisee.
Watupe elimuHuwa naona humu mada nyinginyingi, zinazungumzia introvert na extrovert kiukweli huwa napata ugumu sana kupambanua juu ya
1. Mbona inakuwa na mada nyingi sana humu?
2. Kiswahili chake ni nini haya maneno mawili na kwann hakutumiki kiswahili chake mara hizi nyingi ambazo inazungumzia?
3. Nini faida ya kuwa
I) Introvert
II) Extrovert
Naomba kuwasilisha