Kuna utofauti gani kati ya kuwa Introvert, kupenda kujitenga na kuwa mkimya ?

Huwa naona humu mada nyinginyingi, zinazungumzia introvert na extrovert kiukweli huwa napata ugumu sana kupambanua juu ya
1. Mbona inakuwa na mada nyingi sana humu?
2. Kiswahili chake ni nini haya maneno mawili na kwann hakutumiki kiswahili chake mara hizi nyingi ambazo inazungumzia?
3. Nini faida ya kuwa
I) Introvert
II) Extrovert
Naomba kuwasilisha
 
Watupe elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…