Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi.

Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika kwa maana issue yako iko personal zaidi.

Lakini mtu anapokuwa mhanga wa social anxiety, anakuwa mhanga wa swala linaloathiri akili yake, yani anakuwa na muendelezo asioweza ku-control wa hofu ya kuonwa na kuhukumia na watu.

Watu walio introvert wanapendelea "kukaa wenyewe" ila watu wenye social phobia wana hofu kubwa juu ya kuchangamana na watu.

Introvert anaweza akashiriki kuchangamana endapo patakuwa pa maana mahsusi kwake ila mtu mwenye social anxiety akichangamana kwa namna yoyote ile anapitia wakati mgumu sana, moyo kwenda mbio, ana-panic ghafla, etc
 
Hizi Hali ziliwahi nikuta nikiwa mtoto na Sasa zimefutika!
 
Back
Top Bottom