Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

1631688755978.png
 
YAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
Kwann unakosa busara kiasi hicho ,wewe au upon kwenyekundi LA watoto wahovyo by IgP siro

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kwann unakosa busara kiasi hicho ,wewe au upon kwenyekundi LA watoto wahovyo by IgP siro

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
mnahangaika na nini huyo ni gaidi wewe unamjuwa vizuri mbowe? yaani kwanza hata mwenyewe anawashangaa tu mnavyohangaika kumtetea maana anajuwa ugaidi wake mwacheni avune ale alichokuwa anakipanda mvua za kutosha zinamsubiri
 
yaani nawacheka kwa dharaaaauuuuu mnavyohangaika na huyo gaidi na hatoki leo wala kesho ngoja ianze kupigwa kalenda za miezimiezi mara mwaka tyuuuuu mara kasahaulika kabisaaaaaaaaa
Hebu kanywe dawa zako utulize mbichwa huo.😝😝😝😝
 
Chaggadema sasa hivi wakiona mzungu tu wanaona kama ni mungu vile
 
Back
Top Bottom