Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI GAIDI LA KIMATAIFA LINYONGWE TUUUUU
Kwann unakosa busara kiasi hicho ,wewe au upon kwenyekundi LA watoto wahovyo by IgP siroYAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
mkuu umeshapanga yebo hapo iboya?UTAPATA SHIDA SANA MAWAKILI WOTE HAO WA NINI KAMA MBOWE SIYO GAIDI NA ANAKULA MIAKA YA KUTOSHA
Mbona simuoni tour guide?
mnahangaika na nini huyo ni gaidi wewe unamjuwa vizuri mbowe? yaani kwanza hata mwenyewe anawashangaa tu mnavyohangaika kumtetea maana anajuwa ugaidi wake mwacheni avune ale alichokuwa anakipanda mvua za kutosha zinamsubiriKwann unakosa busara kiasi hicho ,wewe au upon kwenyekundi LA watoto wahovyo by IgP siro
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Wewe ID yako ni Iboya2021 au ni boya?
hao ndiyo viongozi wachumia tumbo wanaweza kuuza nchi kama lowasa tu aliwaingiza mkenge wakaingia je wakipewa nchi na huyo gaidi si balaaMbona simuoni tour guide?
Tour guide keshakuwa mchumia tumbo tena? 🤣 🤣hao ndiyo viongozi wachumia tumbo wanaweza kuuza nchi kama lowasa tu aliwaingiza mkenge wakaingia je wakipewa nchi na huyo gaidi si balaa
hapana namaanisha hawaTour guide keshakuwa mchumia tumbo tena? 🤣 🤣
CCM = POLISI.ILI NANI ATAWALE NCHI HII UNAVYOONA? CCM IMARA
Hebu kanywe dawa zako utulize mbichwa huo.😝😝😝😝yaani nawacheka kwa dharaaaauuuuu mnavyohangaika na huyo gaidi na hatoki leo wala kesho ngoja ianze kupigwa kalenda za miezimiezi mara mwaka tyuuuuu mara kasahaulika kabisaaaaaaaaa
mnahangaikia gaidi hamna kazi ya kufanya?Hebu kanywe dawa zako utulize mbichwa huo.😝😝😝😝
mnahangaikia gaidi hamna kazi ya kufanya?
Vipi ile mikopo waliyotupa wazungu,tumeagizia ndege tena?😝😝😝😝Chaggadema sasa hivi wakiona mzungu tu wanaona kama ni mungu vile
Vipi ile mikopo waliyotupa wazungu,tumeagizia ndege tena?😝😝😝😝Chaggadema sasa hivi wakiona mzungu tu wanaona kama ni mungu vile