Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwa binadamu wote tumjue yupo kwa uthibitisho.Ajitokeze kwa Nani? Kwako au!!
Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa binadamu wote tumjue yupo kwa uthibitisho.Ajitokeze kwa Nani? Kwako au!!
Hilo swali unatakiwa umuulize yeye Mungu mwenyewe.Kwa binadamu wote tumjue yupo kwa uthibitisho.
Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?
Huyo Mungu hayupo.Hilo swali unatakiwa umuulize yeye Mungu mwenyewe.
Ipo siku utahitaji kiu ijitokeze ili ujue kuwa ipo.Huyo Mungu hayupo.
Angelikuwepo wala kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa pasipo shaka kwamba kuna Mungum
Hiyo siku haipo na haitakaa iwepo.Ipo siku utahitaji kiu ijitokeze ili ujue kuwa ipo.
Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Na kiu inayokusumbua wewe kwa Sasa sio ya maji Bali yakumuona Mungu. Ile ya maji unajua namna lkn ya Mungu si kwamba hujui namna Bali umejitoa ufahamu. Hongera!
AiseeeeeHuyo Mungu kama ana nguvu aje hapa mwenyewe ajidhihirishe hizo nguvu zake.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu mdhaifu ambaye hayupo na wala hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe.
Mungu yupo na ataendelea kuwepo na tutaona Kati ya Mungu na wewe Nani yupo.Hiyo siku haipo na haitakaa iwepo.
Mkishashindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo, Mnaanza vitisho uchwara mlivyo pumbazwa na dini zenu.
Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Unahangaika sana kumwelezea huyo Mungu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe na kujitetea.