Kuna uwezakano muumba ulimwengu aliacha kuingilia mambo ya ulimwengu aliouumba?

Hilo swali unatakiwa umuulize yeye Mungu mwenyewe.
Huyo Mungu hayupo.

Angelikuwepo wala kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.

Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa pasipo shaka kwamba kuna Mungum
 
Ipo siku utahitaji kiu ijitokeze ili ujue kuwa ipo.
Na kiu inayokusumbua wewe kwa Sasa sio ya maji Bali yakumuona Mungu. Ile ya maji unajua namna lkn ya Mungu si kwamba hujui namna Bali umejitoa ufahamu. Hongera!
 
Hiyo siku haipo na haitakaa iwepo.

Mkishashindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo, Mnaanza vitisho uchwara mlivyo pumbazwa na dini zenu.

Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Unahangaika sana kumwelezea huyo Mungu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe na kujitetea.
 
Huyo Mungu kama ana nguvu aje hapa mwenyewe ajidhihirishe hizo nguvu zake.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu mdhaifu ambaye hayupo na wala hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe.
Aiseeeee
 
Hiyo siku haipo na haitakaa iwepo.

Mkishashindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo, Mnaanza vitisho uchwara mlivyo pumbazwa na dini zenu.

Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Unahangaika sana kumwelezea huyo Mungu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe na kujitetea.
Mungu yupo na ataendelea kuwepo na tutaona Kati ya Mungu na wewe Nani yupo.
 
Back
Top Bottom