Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mungu katokea 🙄 kama katokea basi siku aliyo tokea ndiyo mwanzo ....mungu awezikuwa na mwanzo ...kwa sababu mungu na vyote ni roho(energy) vipo milele hata kisayansi ni hivyo hivyo inavyo sema kuhusu ENERGY...sasa mungu ni nini ? Mungu ni UFAHAMU WA HIYO ENERGY YOTE KWA UJUMLA WAKE huo ufahamu (nafsi)ndiyo mungu ...sisi na vitu vyote vipo ndani ya mungu hivyo ni sehemu ya mungu .Mbona hushangai huyo Mungu kutokea mwenyewe tu?
Nilitaka kusema hivi😅 ukute tupo kwenye miaka 400 yetuwaisrael walipitia mateso zaidi ya miaka mia4 uko misri ndipo Mungu akaskia kilio chao.
Adhabu Ya KutokutiiKila siku hapa duniani kuna habari mbaya za kuteseka kwa binadamu fulani kwa magonjwa, vita, njaa, dhuluma, umaskini n.k kwa viwango tofauti, kuanzia viwango vidogo hadi vikubwa kabisa vya kutisha na kufadhaisha sana
Ni vigumu sana kuelewa kwa nini anayesemwa ana nguvu zote;
Asizue mtoto albino kutekwa, kuuwawa na kukatwa viungo vyake, Asizue watoto kufa vitani Congo, Gaza, Ukraine na kwingine kwingi
Asizue cancer,
Asizuie ubakaji na ulawiti
Asizuie dhuluma za kila aina
Asizue umasikini
Asizue ajali
Asizuie utumwa
Asizuie utapeli wa kidini
Asizuie majanga ya asili
Sasa kwa kuwa ni vigumu sana kuamini ulimwengu ulitokeza au umekuwepo tu bila muumbaji, Je inawezekana muumbaji aliyeuumba ulimwengu aliamua kuuacha ujiendeshe wenyewe tu kwa nguvu na kanuni za asili?
Kwamba aliuumba ulimwengu kisha akaamua kukaa kando kuutazama unavyojiendesha na kujiendea wenyewe tu bila yeye kuingilia kwa namna yoyote au chochote
Hizi mada zilikuwapo kabla wote hatujazaliwa.Hakuna wazo la peke yako mkuu hata huyo Kiranga nae kuna sehem anapata mawazo yake ko hakuna copy and pest maaa kila kilichopo Duniani kilishawahi kuwepo
Roho inahitaji Imani,Nafsi inahitaji Maarifa, Mwili unahitaji chakula... unataka nini Tena kwa Mungu..mbona kama unakuwa mkorofi tu bila SABABUKila siku hapa duniani kuna habari mbaya za kuteseka kwa binadamu fulani kwa magonjwa, vita, njaa, dhuluma, umaskini n.k kwa viwango tofauti, kuanzia viwango vidogo hadi vikubwa kabisa vya kutisha na kufadhaisha sana
Ni vigumu sana kuelewa kwa nini anayesemwa ana nguvu zote;
Asizue mtoto albino kutekwa, kuuwawa na kukatwa viungo vyake, Asizue watoto kufa vitani Congo, Gaza, Ukraine na kwingine kwingi
Asizue cancer,
Asizuie ubakaji na ulawiti
Asizuie dhuluma za kila aina
Asizue umasikini
Asizue ajali
Asizuie utumwa
Asizuie utapeli wa kidini
Asizuie majanga ya asili
Sasa kwa kuwa ni vigumu sana kuamini ulimwengu ulitokeza au umekuwepo tu bila muumbaji, Je inawezekana muumbaji aliyeuumba ulimwengu aliamua kuuacha ujiendeshe wenyewe tu kwa nguvu na kanuni za asili?
Kwamba aliuumba ulimwengu kisha akaamua kukaa kando kuutazama unavyojiendesha na kujiendea wenyewe tu bila yeye kuingilia kwa namna yoyote au chochote
Wewe umejuaje kuwa ana nguvu zote na anakanuni zake?MUNGU NI MWENYE NGUVU ZOTE....ILA MUNGU ANAKANUNI ZAKE....
Jiulize hili swali ukipata jibu utakuwa umejibu swali lako.
Kwanini MUNGU amlete YESU ateseke na kudhalauliwa, je kulikuwa hamna njia nyingine ya kuokoa mwanadamu?
........MUNGU HABADILIKI AKISEMA ITAKUWA LAZIMA ITAKUWA.......
Yani mnafanya ujinga wenyewe hapa Duniani alafu mnamsingizia MunguKila siku hapa duniani kuna habari mbaya za kuteseka kwa binadamu fulani kwa magonjwa, vita, njaa, dhuluma, umaskini n.k kwa viwango tofauti, kuanzia viwango vidogo hadi vikubwa kabisa vya kutisha na kufadhaisha sana
Ni vigumu sana kuelewa kwa nini anayesemwa ana nguvu zote;
Asizue mtoto albino kutekwa, kuuwawa na kukatwa viungo vyake, Asizue watoto kufa vitani Congo, Gaza, Ukraine na kwingine kwingi
Asizue cancer,
Asizuie ubakaji na ulawiti
Asizuie dhuluma za kila aina
Asizue umasikini
Asizue ajali
Asizuie utumwa
Asizuie utapeli wa kidini
Asizuie majanga ya asili
Sasa kwa kuwa ni vigumu sana kuamini ulimwengu ulitokeza au umekuwepo tu bila muumbaji, Je inawezekana muumbaji aliyeuumba ulimwengu aliamua kuuacha ujiendeshe wenyewe tu kwa nguvu na kanuni za asili?
Kwamba aliuumba ulimwengu kisha akaamua kukaa kando kuutazama unavyojiendesha na kujiendea wenyewe tu bila yeye kuingilia kwa namna yoyote au chochote
Hizi ni Fictions.
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Hauk