Huu Uzi utakuja kuwa hot mara baada ya uchaguzi Mkuu kila mtu atakuja kusadiki maneno yako
Haijalishi kabisa kuwa wewe ni mwana CCM au ni mpinzani. Jambo la mhimu hapa ni Tanzania, ambayo sote ni yetu.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita umetoa funzo. Kuna viongozi wamepita bila kupingwa ila baadae kidogo wananchi wamewakataa na wengine wamejiuzulu kwa kukosa support ya wananchi.
Dosari za uchaguzi huo, zilibainishwa na Mh. Jafo ambaye ni Waziri wa TAMISEMI na mwenye dhamana.
Aidha, Uchaguzi huu Mkuu wa 2020, Wakurugenzi walewale ndo wanatarajiwa kusimamia chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hadi naandika thread hii, niko tiyari kusahihishwa,sijasikia Mkurugenzi au Kiongozi aliyewajibishwa au kujiuzulu kwa uzembe ule uliofanyika.
Mimi ni Mtanzania na mpenda amani. Kwa interest ya wasomaji,mimi ni mwanachama hai wa CCM.
Leo wakati napitia habari mbalimbali ktk mitandao yetu nimekutana na uzi unaomnukuu Katibu Mkuu wangu wa Chama ukisema "Dr. Bashiru: Mbinu na mikakati tuliyotumia kupata ushindi wa 99% kwenye Serikali za mitaa ndizo tutakazotumia uchaguzi mkuu 2020".
Kiujumla hii statement imenifikirisha kiasi fulani,ukizingatia kauli hii inakinzana na ile ya Mh. Jafo kuwa dosari zilikuwa ni nyingi hadi akafuta teuzi na kuamua kila aliyejaza fomu apigiwe kura.
Hofu yangu ni pale Katibu wangu Mkuu anapotamka mbinu bila kuweka bayana ni mbinu zipi! Huku akijua wazi 99% ya ushindi tuliopata ulitokana na wenzetu kujitoa na siyo mapenzi halisi ya wapiga kura! Na je, hizo mbinu zitafanana na zile zilizoendana na ushindani usio sawa?
Je, Katibu wangu hajui kabisa ni nini kilipelekea tukapata ushindi wa kishindo? Endapo anajua,haoni kuna uwezekano tukapata Wabunge goigoi kwa vile wengi watapita bila Sanduku la kura?
Napenda kukuunga mkono mkuu 'Chakaza', ila sijui maana hasa unayolenga kwa maneno haya uliyoyatumia:Huyo Bashiru acha ajidanganye, sisi tumeamua hakuna uchaguzi bila tume hiyo. Ndio, sisi wananchi.
S
Kura yako ya HAPANA au kumpigia mpinzani ina thamani kubwa sana kuliko wewe kutojitokeza kutumia haki yako ya kupiga kura.Duuuh mbinu zile zile ndio maana Mimi sina mpango wowote wakupiga kura nahisi ntapoteza muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, haya mambo yanatuhusu sote. Mwl. Nyerere aliwahi kusema" Kiongozi bora ni yule anayekubali kukosolewa kwenye mambo ya msingi".
Jisemee wewe sio kujumuisha wananchi wote
Sisi tunaamua lakini bado tunapaswa kushinikiza vyama vyetu kutopeleka majina ya wagombea.Napenda kukuunga mkono mkuu 'Chakaza', ila sijui maana hasa unayolenga kwa maneno haya uliyoyatumia:
"...sisi tumeamua hakuna uchaguzi bila tume hiyo"
Itapendeza sana ikiwa hivyo hasa.
Lakini kama maana yake ni kama ile iliyofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, yaani kwa vyama vya upinzani kususia uchaguzi huo, basi hapo maana inakuwa imepotea.
Hapo mwisho wa sentensi yako umewahusisha wananchi, "ndio sisi wananchi", nikitumai ni wananchi watakao uzuia uchaguzi usifanyike , na wala sio wao kususia tu kwa kutokwenda kupiga kura.
Kama maana ya wananchi kuzuia uchaguzi usifanyike, hili linahitaji maandalizi kabambe sana. Sio jambo la kukurupuka tu na kulifanya. Linahitaji uongozi makini. Yote mawili siyaoni, na wakati wake wa kuyafanya ni huu, sasa hivi, sio kuanza kesho au keshokutwa.
Labda unaweza ukaeleza maana yako uliyokusudia kwa kuyaandika maneno hayo.
Hata hawa waliopo ni wabovu mnoUchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita umetoa funzo. Kuna viongozi wamepita bila kupingwa ila baadae kidogo wananchi wamewakataa na wengine wamejiuzulu kwa kukosa support ya wananchi.
Dosari za uchaguzi huo, zilibainishwa na Mh. Jafo ambaye ni Waziri wa TAMISEMI na mwenye dhamana.
Aidha, Uchaguzi huu Mkuu wa 2020, Wakurugenzi walewale ndo wanatarajiwa kusimamia chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hadi naandika thread hii, niko tiyari kusahihishwa,sijasikia Mkurugenzi au Kiongozi aliyewajibishwa au kujiuzulu kwa uzembe ule uliofanyika.
Mimi ni Mtanzania na mpenda amani. Kwa interest ya wasomaji,mimi ni mwanachama hai wa CCM.
Leo wakati napitia habari mbalimbali ktk mitandao yetu nimekutana na uzi unaomnukuu Katibu Mkuu wangu wa Chama ukisema "Dr. Bashiru: Mbinu na mikakati tuliyotumia kupata ushindi wa 99% kwenye Serikali za mitaa ndizo tutakazotumia uchaguzi mkuu 2020".
Kiujumla hii statement imenifikirisha kiasi fulani,ukizingatia kauli hii inakinzana na ile ya Mh. Jafo kuwa dosari zilikuwa ni nyingi hadi akafuta teuzi na kuamua kila aliyejaza fomu apigiwe kura.
Hofu yangu ni pale Katibu wangu Mkuu anapotamka mbinu bila kuweka bayana ni mbinu zipi! Huku akijua wazi 99% ya ushindi tuliopata ulitokana na wenzetu kujitoa na siyo mapenzi halisi ya wapiga kura! Na je, hizo mbinu zitafanana na zile zilizoendana na ushindani usio sawa?
Je, Katibu wangu hajui kabisa ni nini kilipelekea tukapata ushindi wa kishindo? Endapo anajua,haoni kuna uwezekano tukapata Wabunge goigoi kwa vile wengi watapita bila Sanduku la kura?
Umejaribu, lakini bado hujanishawishi mkuu wangu Chakaza kwa haya uliyoweka hapa.Sisi tunaamua lakini bado tunapaswa kushinikiza vyama vyetu kutopeleka majina ya wagombea.
Tofauti na uchaguzi wa SM ambao ulikuwa ni lazima ujiandikishe kwanza, huu tayari tumejiandikisha lakini kama hakuna chama kitapeleka majina hautakuwa uchaguzi.
Na ni vema vile vyama puppet kutambua kuwa kupeleka jina LA MTU ni kumhatarishia maisha.
Ndipo uchaguzi mkuu utakao kuwa na mgombea Urais pekee, wabunge pekee na madiwani pekee wa CCM utakuwaje.
Bado sisi (wananchi) tunahitaji umahiri wa viongozi wa kisiasa kuli ongoza hili bila utani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ndio wanaichi ....tunataka tume huru shetani wewe!Jisemee wewe sio kujumuisha wananchi wote
Mkuu kosa la kutokuwa na tume huru lilipuuzwa na hao wanaotaka tume huru sasa,lakini baada ya kuonja machungu ya ubabaishaji wao kuwa hawafiki kokote bila ya mambo ya msingi.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita umetoa funzo. Kuna viongozi wamepita bila kupingwa ila baadae kidogo wananchi wamewakataa na wengine wamejiuzulu kwa kukosa support ya wananchi.
Dosari za uchaguzi huo, zilibainishwa na Mh. Jafo ambaye ni Waziri wa TAMISEMI na mwenye dhamana.
Aidha, Uchaguzi huu Mkuu wa 2020, Wakurugenzi walewale ndo wanatarajiwa kusimamia chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hadi naandika thread hii, niko tiyari kusahihishwa,sijasikia Mkurugenzi au Kiongozi aliyewajibishwa au kujiuzulu kwa uzembe ule uliofanyika.
Mimi ni Mtanzania na mpenda amani. Kwa interest ya wasomaji,mimi ni mwanachama hai wa CCM.
Leo wakati napitia habari mbalimbali ktk mitandao yetu nimekutana na uzi unaomnukuu Katibu Mkuu wangu wa Chama ukisema "Dr. Bashiru: Mbinu na mikakati tuliyotumia kupata ushindi wa 99% kwenye Serikali za mitaa ndizo tutakazotumia uchaguzi mkuu 2020".
Kiujumla hii statement imenifikirisha kiasi fulani,ukizingatia kauli hii inakinzana na ile ya Mh. Jafo kuwa dosari zilikuwa ni nyingi hadi akafuta teuzi na kuamua kila aliyejaza fomu apigiwe kura.
Hofu yangu ni pale Katibu wangu Mkuu anapotamka mbinu bila kuweka bayana ni mbinu zipi! Huku akijua wazi 99% ya ushindi tuliopata ulitokana na wenzetu kujitoa na siyo mapenzi halisi ya wapiga kura! Na je, hizo mbinu zitafanana na zile zilizoendana na ushindani usio sawa?
Je, Katibu wangu hajui kabisa ni nini kilipelekea tukapata ushindi wa kishindo? Endapo anajua,haoni kuna uwezekano tukapata Wabunge goigoi kwa vile wengi watapita bila Sanduku la kura?
Mkuu inawezekana kabisa mawazo haya ni mazuri. Tupe the way forward.Mkuu kosa la kutokuwa na tume huru lilipuuzwa na hao wanaotaka tume huru sasa,lakini baada ya kuonja machungu ya ubabaishaji wao kuwa hawafiki kokote bila ya mambo ya msingi.
Tulipoingia siasa vyama vingi enzi za Mzee Ruksa watu mahili kama Mchungaji Mtikila waliliona hilo kuomba vyama vya upinzani wasikubali chaguzi hadi mambo ya msingi kama mgombea binafsi,tume huru yapewe uvumbuzi.Lakini nguvu ya RUZUKU ikakumbatiwa wakasahau maana halisi ya Upinzani ni kuchukuwa Dola
Chaguzi zote 1995,2000,2005,2010,2015.tume huru haikupewa kipa umbele kisa RUZUKU!
Wakasahau kuwa CCM haikupenda vyama vingi bali lilikuwa shindikizo toka nchi za magharibi.
Dynamic ya siasa zimebadirika,China Communist ni Super Power,kwa sasa nchi za Magharibi zina matatizo yao na sio kipaumbele kuhimiza siasa ya vyama vingi kwa nchi za Afrika.
Tume huru itaongozwa na watu,nani anajua roho za wajumbe wa tume,roho zao zitakuwa hazipendelei au kuegemea upande wowote?
Haipo popote duniani hii kitu ni kwetu na rwanda tuBoss Kididimo Mimi binafsi .. hii kitu ya ... Kupita bila kupingwa ... sikipendi aka sikiafiki. Maana haileti ushindani bora. Sijui kwa nini CCM na Watawala wanaogopa ushindani bora. Ushindani bora siku zote huleta Maendeleo bora.
Bila Upinzania madhubuti na bora, tusahau kitu Maendeleo. Na maendeleo yataletwa na Wananchi na Watanzania.