PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukisema anamchafua unakosea kwasababu aliyoyasema yote ni kweli hajatunga Wala kuongeza chumvi
Gwajima katumwa na mama waihadae Dunia kuwa Tanzania kuna haki za binadamu wanafuatilia kila kitu
 
😂😂 Ccm ina wenyewe
 
ccm wanampinga Gwajima kwa kuzuga si kwa kumanisha, Gwajima hakufanya alichofanya kwa kukurupuka katumwa na ccm awahadae Dunia
 
Hakuna Mtanzania anayemkubali Samia, labda wewe na machawa wenzako. Usije kutafuta huruma huku. Usilazimishe kukubalika kwa kujaza mabango nchi nzima na maneno matupu. Af nikuulize swali Lucas, ni katiba gani ilitumika kumpitisha Samia kuwa mgombea urais mwaka huu?
 
Bishungwa waziri wa milele na Polisiccm ndiyo watamrejesha kwa nguvu lakini sanduku la kura hakuna wa kumchagua
 
Gwajima katumwa na ccm aseme aihadae Dunia
 
Tulia kijana. Wewe ni mtoto mdogo. Hujui nchi inavyo kwenda. Hii vita nakuhakikishia Wahuni na nyinyi CHAWA wao hamtaishinda kamwe.
Kuna ile video ya Gwajima Akihimiza wasukuma wawe na taifa lao au watawale nchi wanavyotaka

Mwenye nayo tafadhali
 
Mama alishashinda me nasubiri uapisho tu
Ninyi ndio mnaoiharibu CCM kwa kujidai ni machawa.

Kwa hiyo tusipige kura! Kuna maana yoyote ya kupiga kura?

Tukisema mnatuteka mnatupa kesi za uhaini.
 
Naongezea tu,

Mgombea inatakiwa atoke nje ya ukumbi wakati wanateua jina. Huyo mama aligoma kutoka. Walimuomba atoke akagoma. Kwa nini aligoma? Katiba ya chama chaliii sembuse ya nchi. Kakijikitabu tu.
 
U
USisemee watu, sema wewe ndio unamchukia!!!
Sisi wengine tuna mkubali, 5 tena kwa mama😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…