PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.

Lakini ni Lazima Mfahamu ya Kuwa kuna Mambo makubwa ,Mazito ya kuogofya ,Ya Siri yalifanywa au kudhamiliwa kufanywa au kukusudiwa kufanywa na baadhi ya watu kutaka Kupindua Matakwa ya Katiba yetu ili Mama yetu aliyekuwa Ni Makamu wa Rais Asiweze Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kama inavyoeleza Katiba yetu.

Hapa mnaweza kurejea kauli ,maneno na Mazungumzo ya Jenerali Venance Mabeyo Ambaye alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati huo. Ambapo Alisema kuwa Kuna watu walisahau matakwa ya katiba na katiba inasema nini baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani. Ambapo anasema na alisema ya kuwa yeye ndiye alifanya kazi ya kuwakumbusha hao watu matakwa ya Katiba.

Kitu nachopenda kuwaambieni ni kuwa hii ni kauli nzito sana kutoka kwa mtu na kiongozi mzito sana ambayo aliitamka kiuongozi. Hapa kwa lugha nyingine waweza kusema kuwa kuna watu au kikundi cha watu kwa sababu zao na maslahi yao walitaka kupindua matakwa ya katiba ili waweke au kusimika mtu wao katika kiti cha Urais baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kinyume kabisa na matakwa ya katiba yetu.

Kwa hiyo siyo kwamba walikuwa wamejisahau au walikuwa ni wapinga wa sheria na katiba au kwamba walikuwa hawajui katiba inataka nini kifanyike. Walikuwa wanajua kila kitu ila kwa uroho na uchu wa madaraka walitaka wafanye kitendo hicho cha hatari ambacho pengine kingeweza kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwa kusababisha machafuko na mgawanyiko ndani ya Taifa letu.

Kwa sababu ni lazima kungezaliwa kambi na mgawanyiko mkubwa sana kuanzia Majeshini ,uongozini hadi uraiani ambapo wengi wangekuwa upande wa katiba yetu kutaka katiba iheshimiwe na kufuatwa kwa Mama Samia kuapishwa kuwa Rais wa NCHI yetu. Hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza General Mabeyo kwa Ujasiri na uzalendo wake uliotukuka kabisa wa kusimama imara kulinda katiba yetu kama kiapo chake kinavyo Muelekeza.

Hivyo basi kushindwa kwa jaribio hilo la watu hao la kutaka Kupindua matakwa ya katiba yetu. Bila shaka liliwaumiza,kuwakwaza ,kuwasononesha na kuwachukiza sana watu au kikundi hicho kilichotajwa kufanya jambo hilo la hatari kwa usalama wetu wa Taifa. Hali ambayo bila shaka iliwaacha na kitu kimoja pekee mikononi na vifuani pao. Ambalo ni Dua na Maombi mabaya kwa utawala wa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Bila shaka waliendelea kuomba Rais wetu ashindwe kuongoza Nchi ,utawala wake uwe wa misukosuko,majanga majanga ,kuchukiwa na wananchi ,vurugu na maandamano ya hapa na pale na mambo mengine mbalimbali mabaya mabaya. Lakini kwa sababu uongozi unatoka kwa Mungu,na kwa kuwa Mungu ndiye hutoa kibali cha uongozi kwa mtu ikawa tofauti sana na matarajio ya hawa watu na hicho kikundi Chenye chuki binafsi kwa Rais wetu.

Chuki zinazoweza kuwa zilichochewa na ubaguzi kwa Misingi ya Ukabila ,Udini ,Ukanda au jinsia yake Rais wetu. Sasa kitendo cha kuona RAIS wetu akiongoza Nchi vizuri kwa amani na utulivu huku kukiwa kumetamalaki umoja na mshikamano hapa Nchini bila shaka lilikuwa ni pigo baya kwa watu hao wenye chuki binafsi.

Kitendo pia cha CCM kupitia Mkutano Mkuu wake kuamua kumpitisha Mapema kabisa Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao nalo linaweza kuwa ilikuwa ni msumari wa moto katika kidonda kibichi . Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti kwa niaba ya kundi na watu hao kutaka na kujaribu kumchafua Rais Samia katika wakati huu wakuelekea uchaguzi Mkuu.

Hii ni katika kusukuma kete taratibu ili kumdhoofisha ,kumvuruga ,kumpanikisha,kumhamisha kiajenda Rais wetu na kumfanya akose amani na utulivu wa kuongoza Nchi yetu na hivyo kutimiza azima na malengo yao ya tangia 2021 ya kutotaka Rais Samia awe Rais wetu kwa sasa za kijinga na zilizojaa ubaguzi na chuki binafsi tu zenye kuchochea na uchu na uroho wa madaraka.

Kwa hiyo Askofu GWAJIMA ni anaweza kuwa kama mtu aliyetagulizwa mbele tu na kupewa jukumu la kumchafua kwa nguvu zote Rais Samia na uongozi wake. Hasa baada ya kutambua ya kuwa RAIS Samia anapendwa kukubalika ,kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote. Ndio maana unaona Askofu Gwajima alijielekeza katika kumshambulia na kuelekeza mashabulizi kwa taasisi ya Rais na Urais ,kwa sababu ndio lengo kuu la ajenda zilizo nyuma ya pazia kutaka kummaliza Kisiasa Rais wetu.

Hata hivyo Askofu Gwajima hataweza kufanikisha ajenda zake za kumchafua Rais wetu. Hataweza kumdhoofisha Mama yetu,hataweza kumshusha Jemedari wetu,hataweza kwa namna yoyote ile na kwa mbinu ya aina yoyote ile kuchafua taswira nzuri ya Rais wetu mbele ya watanzania. Najua atafanya kila mbinu na kuzungumza kila uzushi na uongo kwa lengo la kutaka kinachoanganisha Rais Samia na wananchi ili achukiwe yeye binafsi na uongozi wake lakini kamwe na katu hataweza kufanikiwa. Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa letu mpaka 2030 Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu kwa Uweza na msaada wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe aliye mtoa njia na maarifa.

Rais Samia aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hawezi kamwe kushushwa kwa Mkono wa Mwanadamu mwenye chuki zake Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zilaaniwe shahawa chafu alizokojoa Baba Yako ukazaliwa ***** LUCAS MWASHAMBWA
 
Tangu lini uchafu ukachafuliwa.
 
Kusema watu wasitekwe na kuuawa tena ni kumshambulia Rais wa nchi?
 
Dah nyie jamaa mnajua sana kujipendekeza

Na watu kama nyie ndio mnaweza kuuza utu wenu just to make others people happy

Kijana kama ww unashindwa kuona swala la watu kuuliwa? Watu kutekwa? Ufisadi wa mahela meng? Mtumishi wa umma ananunua kiwanja 2B while vijana wenzako wa vyuo hawana hata mkopo?

Unaacha kuona hayo yote unakuja na hoja cheap kabisa

Gwajima anajua anasema nini, na ule ulikuwa ni mwanzo tu ili mjibu then aje na full details,

Kijana wak up acha uchawa na kujipendekeza

Vijana wenzako wakina nyerere walitupa uhuru I think wewe ungekuwepo those days ungekuwa upande wa wazungu

Shame on you
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.

Lakini ni Lazima Mfahamu ya Kuwa kuna Mambo makubwa ,Mazito ya kuogofya ,Ya Siri yalifanywa au kudhamiliwa kufanywa au kukusudiwa kufanywa na baadhi ya watu kutaka Kupindua Matakwa ya Katiba yetu ili Mama yetu aliyekuwa Ni Makamu wa Rais Asiweze Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kama inavyoeleza Katiba yetu.

Hapa mnaweza kurejea kauli ,maneno na Mazungumzo ya Jenerali Venance Mabeyo Ambaye alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati huo. Ambapo Alisema kuwa Kuna watu walisahau matakwa ya katiba na katiba inasema nini baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani. Ambapo anasema na alisema ya kuwa yeye ndiye alifanya kazi ya kuwakumbusha hao watu matakwa ya Katiba.

Kitu nachopenda kuwaambieni ni kuwa hii ni kauli nzito sana kutoka kwa mtu na kiongozi mzito sana ambayo aliitamka kiuongozi. Hapa kwa lugha nyingine waweza kusema kuwa kuna watu au kikundi cha watu kwa sababu zao na maslahi yao walitaka kupindua matakwa ya katiba ili waweke au kusimika mtu wao katika kiti cha Urais baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kinyume kabisa na matakwa ya katiba yetu.

Kwa hiyo siyo kwamba walikuwa wamejisahau au walikuwa ni wapinga wa sheria na katiba au kwamba walikuwa hawajui katiba inataka nini kifanyike. Walikuwa wanajua kila kitu ila kwa uroho na uchu wa madaraka walitaka wafanye kitendo hicho cha hatari ambacho pengine kingeweza kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwa kusababisha machafuko na mgawanyiko ndani ya Taifa letu.

Kwa sababu ni lazima kungezaliwa kambi na mgawanyiko mkubwa sana kuanzia Majeshini ,uongozini hadi uraiani ambapo wengi wangekuwa upande wa katiba yetu kutaka katiba iheshimiwe na kufuatwa kwa Mama Samia kuapishwa kuwa Rais wa NCHI yetu. Hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza General Mabeyo kwa Ujasiri na uzalendo wake uliotukuka kabisa wa kusimama imara kulinda katiba yetu kama kiapo chake kinavyo Muelekeza.

Hivyo basi kushindwa kwa jaribio hilo la watu hao la kutaka Kupindua matakwa ya katiba yetu. Bila shaka liliwaumiza,kuwakwaza ,kuwasononesha na kuwachukiza sana watu au kikundi hicho kilichotajwa kufanya jambo hilo la hatari kwa usalama wetu wa Taifa. Hali ambayo bila shaka iliwaacha na kitu kimoja pekee mikononi na vifuani pao. Ambalo ni Dua na Maombi mabaya kwa utawala wa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Bila shaka waliendelea kuomba Rais wetu ashindwe kuongoza Nchi ,utawala wake uwe wa misukosuko,majanga majanga ,kuchukiwa na wananchi ,vurugu na maandamano ya hapa na pale na mambo mengine mbalimbali mabaya mabaya. Lakini kwa sababu uongozi unatoka kwa Mungu,na kwa kuwa Mungu ndiye hutoa kibali cha uongozi kwa mtu ikawa tofauti sana na matarajio ya hawa watu na hicho kikundi Chenye chuki binafsi kwa Rais wetu.

Chuki zinazoweza kuwa zilichochewa na ubaguzi kwa Misingi ya Ukabila ,Udini ,Ukanda au jinsia yake Rais wetu. Sasa kitendo cha kuona RAIS wetu akiongoza Nchi vizuri kwa amani na utulivu huku kukiwa kumetamalaki umoja na mshikamano hapa Nchini bila shaka lilikuwa ni pigo baya kwa watu hao wenye chuki binafsi.

Kitendo pia cha CCM kupitia Mkutano Mkuu wake kuamua kumpitisha Mapema kabisa Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao nalo linaweza kuwa ilikuwa ni msumari wa moto katika kidonda kibichi . Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti kwa niaba ya kundi na watu hao kutaka na kujaribu kumchafua Rais Samia katika wakati huu wakuelekea uchaguzi Mkuu.

Hii ni katika kusukuma kete taratibu ili kumdhoofisha ,kumvuruga ,kumpanikisha,kumhamisha kiajenda Rais wetu na kumfanya akose amani na utulivu wa kuongoza Nchi yetu na hivyo kutimiza azima na malengo yao ya tangia 2021 ya kutotaka Rais Samia awe Rais wetu kwa sasa za kijinga na zilizojaa ubaguzi na chuki binafsi tu zenye kuchochea na uchu na uroho wa madaraka.

Kwa hiyo Askofu GWAJIMA ni anaweza kuwa kama mtu aliyetagulizwa mbele tu na kupewa jukumu la kumchafua kwa nguvu zote Rais Samia na uongozi wake. Hasa baada ya kutambua ya kuwa RAIS Samia anapendwa kukubalika ,kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote. Ndio maana unaona Askofu Gwajima alijielekeza katika kumshambulia na kuelekeza mashabulizi kwa taasisi ya Rais na Urais ,kwa sababu ndio lengo kuu la ajenda zilizo nyuma ya pazia kutaka kummaliza Kisiasa Rais wetu.

Hata hivyo Askofu Gwajima hataweza kufanikisha ajenda zake za kumchafua Rais wetu. Hataweza kumdhoofisha Mama yetu,hataweza kumshusha Jemedari wetu,hataweza kwa namna yoyote ile na kwa mbinu ya aina yoyote ile kuchafua taswira nzuri ya Rais wetu mbele ya watanzania. Najua atafanya kila mbinu na kuzungumza kila uzushi na uongo kwa lengo la kutaka kinachoanganisha Rais Samia na wananchi ili achukiwe yeye binafsi na uongozi wake lakini kamwe na katu hataweza kufanikiwa. Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa letu mpaka 2030 Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu kwa Uweza na msaada wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe aliye mtoa njia na maarifa.

Rais Samia aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hawezi kamwe kushushwa kwa Mkono wa Mwanadamu mwenye chuki zake Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe pimbi unaandika utopolo
 
1. awamu ya ‘sita’ ilitokea wapi?

2. ni nani aliyesema hii iwe awamu ya sita? kwanini?

3. awamu ya tano iliishia wapi? kiongozi alifariki lakini awamu ilikua ikiendelea kupitia ‘aliyerithi’ sio aliyechaguliwa

4. Mrisho Kiwete amepataje ushawishi kwenye awamu ya ‘sita’ ghafla wakati hakuwa akionekana popote hapo kabla?

5. kwanini katiba ya chama imevunjwa kumpitisha mgombea anayemaliza awamu bila kushindanishwa na kabla ya wakati? Je, waliofanya hivyo wana tofauti gani na hao unaosema walitaka katiba ivunjwe ili mrithi asirithi?

6. hoja ya gwajima haijajibiwa, nani anaua na kuteka watu kama mzee kibao n.k? pia kwanini wakuu wa vyombo wamebadilika mara 4 ndani ya miaka 3, wamekosea nini?

7. kwanini mnawalazimishia watu kutawaliwa na mtu wasiyemtaka?

8. john pombe alifariki katika mazingira gani hasa? huenda waliotaka mrithi asirithi msingi wa hoja yao ulikuwa kwenye jibu la swali hili
 
Sema jembe chunga sana kuna namna utavuna laana vitu vingine sio vya kukaza shingo utavunjika.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.

Lakini ni Lazima Mfahamu ya Kuwa kuna Mambo makubwa ,Mazito ya kuogofya ,Ya Siri yalifanywa au kudhamiliwa kufanywa au kukusudiwa kufanywa na baadhi ya watu kutaka Kupindua Matakwa ya Katiba yetu ili Mama yetu aliyekuwa Ni Makamu wa Rais Asiweze Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kama inavyoeleza Katiba yetu.

Hapa mnaweza kurejea kauli ,maneno na Mazungumzo ya Jenerali Venance Mabeyo Ambaye alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati huo. Ambapo Alisema kuwa Kuna watu walisahau matakwa ya katiba na katiba inasema nini baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani. Ambapo anasema na alisema ya kuwa yeye ndiye alifanya kazi ya kuwakumbusha hao watu matakwa ya Katiba.

Kitu nachopenda kuwaambieni ni kuwa hii ni kauli nzito sana kutoka kwa mtu na kiongozi mzito sana ambayo aliitamka kiuongozi. Hapa kwa lugha nyingine waweza kusema kuwa kuna watu au kikundi cha watu kwa sababu zao na maslahi yao walitaka kupindua matakwa ya katiba ili waweke au kusimika mtu wao katika kiti cha Urais baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kinyume kabisa na matakwa ya katiba yetu.

Kwa hiyo siyo kwamba walikuwa wamejisahau au walikuwa ni wapinga wa sheria na katiba au kwamba walikuwa hawajui katiba inataka nini kifanyike. Walikuwa wanajua kila kitu ila kwa uroho na uchu wa madaraka walitaka wafanye kitendo hicho cha hatari ambacho pengine kingeweza kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwa kusababisha machafuko na mgawanyiko ndani ya Taifa letu.

Kwa sababu ni lazima kungezaliwa kambi na mgawanyiko mkubwa sana kuanzia Majeshini ,uongozini hadi uraiani ambapo wengi wangekuwa upande wa katiba yetu kutaka katiba iheshimiwe na kufuatwa kwa Mama Samia kuapishwa kuwa Rais wa NCHI yetu. Hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza General Mabeyo kwa Ujasiri na uzalendo wake uliotukuka kabisa wa kusimama imara kulinda katiba yetu kama kiapo chake kinavyo Muelekeza.

Hivyo basi kushindwa kwa jaribio hilo la watu hao la kutaka Kupindua matakwa ya katiba yetu. Bila shaka liliwaumiza,kuwakwaza ,kuwasononesha na kuwachukiza sana watu au kikundi hicho kilichotajwa kufanya jambo hilo la hatari kwa usalama wetu wa Taifa. Hali ambayo bila shaka iliwaacha na kitu kimoja pekee mikononi na vifuani pao. Ambalo ni Dua na Maombi mabaya kwa utawala wa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Bila shaka waliendelea kuomba Rais wetu ashindwe kuongoza Nchi ,utawala wake uwe wa misukosuko,majanga majanga ,kuchukiwa na wananchi ,vurugu na maandamano ya hapa na pale na mambo mengine mbalimbali mabaya mabaya. Lakini kwa sababu uongozi unatoka kwa Mungu,na kwa kuwa Mungu ndiye hutoa kibali cha uongozi kwa mtu ikawa tofauti sana na matarajio ya hawa watu na hicho kikundi Chenye chuki binafsi kwa Rais wetu.

Chuki zinazoweza kuwa zilichochewa na ubaguzi kwa Misingi ya Ukabila ,Udini ,Ukanda au jinsia yake Rais wetu. Sasa kitendo cha kuona RAIS wetu akiongoza Nchi vizuri kwa amani na utulivu huku kukiwa kumetamalaki umoja na mshikamano hapa Nchini bila shaka lilikuwa ni pigo baya kwa watu hao wenye chuki binafsi.

Kitendo pia cha CCM kupitia Mkutano Mkuu wake kuamua kumpitisha Mapema kabisa Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao nalo linaweza kuwa ilikuwa ni msumari wa moto katika kidonda kibichi . Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti kwa niaba ya kundi na watu hao kutaka na kujaribu kumchafua Rais Samia katika wakati huu wakuelekea uchaguzi Mkuu.

Hii ni katika kusukuma kete taratibu ili kumdhoofisha ,kumvuruga ,kumpanikisha,kumhamisha kiajenda Rais wetu na kumfanya akose amani na utulivu wa kuongoza Nchi yetu na hivyo kutimiza azima na malengo yao ya tangia 2021 ya kutotaka Rais Samia awe Rais wetu kwa sasa za kijinga na zilizojaa ubaguzi na chuki binafsi tu zenye kuchochea na uchu na uroho wa madaraka.

Kwa hiyo Askofu GWAJIMA ni anaweza kuwa kama mtu aliyetagulizwa mbele tu na kupewa jukumu la kumchafua kwa nguvu zote Rais Samia na uongozi wake. Hasa baada ya kutambua ya kuwa RAIS Samia anapendwa kukubalika ,kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote. Ndio maana unaona Askofu Gwajima alijielekeza katika kumshambulia na kuelekeza mashabulizi kwa taasisi ya Rais na Urais ,kwa sababu ndio lengo kuu la ajenda zilizo nyuma ya pazia kutaka kummaliza Kisiasa Rais wetu.

Hata hivyo Askofu Gwajima hataweza kufanikisha ajenda zake za kumchafua Rais wetu. Hataweza kumdhoofisha Mama yetu,hataweza kumshusha Jemedari wetu,hataweza kwa namna yoyote ile na kwa mbinu ya aina yoyote ile kuchafua taswira nzuri ya Rais wetu mbele ya watanzania. Najua atafanya kila mbinu na kuzungumza kila uzushi na uongo kwa lengo la kutaka kinachoanganisha Rais Samia na wananchi ili achukiwe yeye binafsi na uongozi wake lakini kamwe na katu hataweza kufanikiwa. Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa letu mpaka 2030 Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu kwa Uweza na msaada wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe aliye mtoa njia na maarifa.

Rais Samia aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hawezi kamwe kushushwa kwa Mkono wa Mwanadamu mwenye chuki zake Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jibu hoja za GWAJIMA WEWE CHAWA MCHAFU.
Gwajima amelonga aeleweke, ajibiwe kwa HOJA NA SIYO VIHOJA NA VIROJA KAMA HIVI.
CHAWA MCHAFU
 
Wakuu hebu tuache cheap politics.
Hebu tuone hoja, Gwajima amemchafua wapi Mheshimiwa?
Tuone mahali ili tuweze kuchangia hoja kwa hoja,
 
Back
Top Bottom