PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.

Lakini ni Lazima Mfahamu ya Kuwa kuna Mambo makubwa ,Mazito ya kuogofya ,Ya Siri yalifanywa au kudhamiliwa kufanywa au kukusudiwa kufanywa na baadhi ya watu kutaka Kupindua Matakwa ya Katiba yetu ili Mama yetu aliyekuwa Ni Makamu wa Rais Asiweze Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kama inavyoeleza Katiba yetu.

Hapa mnaweza kurejea kauli ,maneno na Mazungumzo ya Jenerali Venance Mabeyo Ambaye alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati huo. Ambapo Alisema kuwa Kuna watu walisahau matakwa ya katiba na katiba inasema nini baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani. Ambapo anasema na alisema ya kuwa yeye ndiye alifanya kazi ya kuwakumbusha hao watu matakwa ya Katiba.

Kitu nachopenda kuwaambieni ni kuwa hii ni kauli nzito sana kutoka kwa mtu na kiongozi mzito sana ambayo aliitamka kiuongozi. Hapa kwa lugha nyingine waweza kusema kuwa kuna watu au kikundi cha watu kwa sababu zao na maslahi yao walitaka kupindua matakwa ya katiba ili waweke au kusimika mtu wao katika kiti cha Urais baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kinyume kabisa na matakwa ya katiba yetu.

Kwa hiyo siyo kwamba walikuwa wamejisahau au walikuwa ni wajinga wa sheria na katiba au kwamba walikuwa hawajui katiba inataka nini kifanyike. Walikuwa wanajua kila kitu ila kwa uroho na uchu wa madaraka walitaka wafanye kitendo hicho cha hatari ambacho pengine kingeweza kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwa kusababisha machafuko na mgawanyiko ndani ya Taifa letu.

Kwa sababu ni lazima kungezaliwa kambi na mgawanyiko mkubwa sana kuanzia Majeshini ,uongozini hadi uraiani ambapo wengi wangekuwa upande wa katiba yetu kutaka katiba iheshimiwe na kufuatwa kwa Mama Samia kuapishwa kuwa Rais wa NCHI yetu. Hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza General Mabeyo kwa Ujasiri na uzalendo wake uliotukuka kabisa wa kusimama imara kulinda katiba yetu kama kiapo chake kinavyo Muelekeza.

Hivyo basi kushindwa kwa jaribio hilo la watu hao la kutaka Kupindua matakwa ya katiba yetu. Bila shaka liliwaumiza,kuwakwaza ,kuwasononesha ,kuwachukiza na kuwaacha na hasira kubwa sana vifuani pao watu au kikundi hicho kilichotaka kufanya jambo hilo la hatari kwa usalama wetu wa Taifa. Hali ambayo bila shaka iliwaacha na kitu kimoja pekee mikononi na vifuani pao. Ambalo ni Dua na Maombi mabaya kwa utawala wa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Bila shaka waliendelea kuomba Rais wetu ashindwe kuongoza Nchi ,utawala wake uwe wa misukosuko,majanga majanga ,kuchukiwa na wananchi ,vurugu na maandamano ya hapa na pale na mambo mengine mbalimbali mabaya mabaya. Lakini kwa sababu uongozi unatoka kwa Mungu,na kwa kuwa Mungu ndiye hutoa kibali cha uongozi kwa mtu ikawa tofauti sana na matarajio ya hawa watu na hicho kikundi Chenye chuki binafsi kwa Rais wetu.

Chuki zinazoweza kuwa zilichochewa na ubaguzi kwa Misingi ya Ukabila ,Udini ,Ukanda au jinsia yake Rais wetu. Sasa kitendo cha kuona Rais wetu akiongoza Nchi vizuri kwa amani na utulivu huku kukiwa kumetamalaki umoja na mshikamano hapa Nchini bila shaka lilikuwa ni pigo baya kwa watu hao wenye chuki binafsi.

Kitendo pia cha CCM kupitia Mkutano Mkuu wake kuamua kumpitisha Mapema kabisa Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao nalo linaweza kuwa ilikuwa ni msumari wa moto katika kidonda kibichi . Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti kwa niaba ya kundi na watu hao kutaka na kujaribu kumchafua Rais Samia katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu.

Hii ni katika kusukuma kete taratibu ili kumdhoofisha ,kumvuruga ,kumpanikisha,kumhamisha kiajenda Rais wetu na kumfanya akose amani na utulivu wa kuongoza Nchi yetu, na hivyo kutimiza azima na malengo yao ya tangia 2021 ya kutotaka Rais Samia awe Rais wetu kwa sababu za kijinga na zilizojaa ubaguzi na chuki binafsi tu zenye kuchochewa na uchu na uroho wa madaraka.

Kwa hiyo Askofu GWAJIMA ni anaweza kuwa kama mtu aliyetangulizwa mbele tu na kupewa jukumu la kumchafua kwa nguvu zote Rais Samia na uongozi wake. Hasa baada ya kutambua ya kuwa RAIS Samia anapendwa, kukubalika ,kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote. Ndio maana unaona Askofu Gwajima alijielekeza katika kumshambulia na kuelekeza mashabulizi kwa taasisi ya Rais na Urais ,kwa sababu ndio lengo kuu la ajenda zilizo nyuma ya pazia kutaka kummaliza Kisiasa Rais wetu.

Hata hivyo Askofu Gwajima hataweza kufanikisha ajenda zake za kumchafua Rais wetu. Hataweza kumdhoofisha Mama yetu,hataweza kumshusha Jemedari wetu,hataweza kwa namna yoyote ile na kwa mbinu ya aina yoyote ile kuchafua taswira nzuri ya Rais wetu mbele ya watanzania. Najua atafanya kila mbinu na kuzungumza kila uzushi na uongo kwa lengo la kutaka kumchonganisha Rais Samia na wananchi ili achukiwe yeye binafsi na uongozi wake lakini kamwe na katu hataweza kufanikiwa. Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa letu mpaka 2030 Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu kwa Uweza na msaada wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe aliye mtoa njia na maarifa.

Rais Samia aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hawezi kamwe kushushwa kwa Mkono wa Mwanadamu mwenye chuki zake Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi unawezaje kuichafua oil chafu?
 
Hizi zinaitwa empty theory, uwezekano hivi uwezekano vile lakin hamna conclusion no physical evidence
 
Mambo yakiwa upande wenu mnanyoosha maelezo!Kukataza mikutano sio takwa la kikatiba?kama sio kwa Nini wakatazwe!
 
Kuna tofauti kati ya kumchafua na kumwambia mtu ukweli.

Gwajima amesema ukweli. Rais ndiye mlinzi mkuu wa usalama wetu na mali zetu. Kama tunatekwa na kuuawa, halafu yeye amekaa kimya, maana yake yeye ndiye mtekaji na muuaji.

Ana vyombo vyote vya usalama na vilivyopewa mafunzo na wananchi kupitia kodi zao. How comes vimegeuka bubu na butu kiasi cha mtanzania anashushwa kwenye basi mchana kweupe na wanaojiita polisi halafu next day inakutwa maiti somewhere na majeshi yote yako kimya?

Miaka minne tu wakuu wa usalama wa Taifa wanne. Hayo mabadiliko yana ishara gani? Kwanini tusiseme kuwa anawaondoa kwa sababu wanapingana nae kwenye suala la kuimarisha usalama?

Leo tunafikia mfumo wa jeshi la polisi una hacked na wakunya halafu tuko busy panga pangua kujiandaa na uchaguzi huku hali ya uchumi inazorota.

Serikali imekopa sana lakini tozo hadi kunya, kweli??

Kuna miradi tangu afe mwendazake hadi leo imesimama. Kodi zetu zaenda wapi? Mbaya zaidi ni barabara.

Alaaniwe aliyepanga mpango wa kumfanya huyu mama awe makamu wa Rais, wakamwua mwendazake ili waendelee kutunyonya na kutuibia.
 
Mleta mada nahisi kama clip ya gwaji boy umeisikiliza nusu, umeandika story ndefu ambayo haviendani kabisa na hoja za gwaj,
Ngoja nikusaidie kwa ufupi,
Ni suala la matukio ya utekaji na mauaji ya watanzania na kikundi cha watu wasiojulikana,
Na mwisho amekuja na ushauri;
Gwaji ametoa facts za kweli na kutoa ushauri ambao wewe unaweza ukaukubali au ukaukataa.
Haya katika bandiko lako jitathimini umejibu hoja ipi katika hizo mbili;
Why mnaleta 'fiction' kwa hoja kubwakubwa? Kama hamna facts si ni suala la kukaa kimya tu kwani lazima uandike kitu hata kama huna hoja?
Haya wewe tuambie ni wapi amemchafua rais?
Ni wapi ameongelea suala la uchaguzi
Kamdomo
 
Nilijua alieleta mada upstairs pako sawa kumbe ni yule yule,
Kiongozi ameshakua vampire, ameidharau katiba wazi wazi,watu wanapotea na kuuwawa chini ya mamlaka yake,kila mtu ni mbinafsi lakini weka kiwango,atakujaje kuniomba kura kiongozi wa aina hii?
NASISITIZA UWE UNALETA MABANDIKO YENYE MAANA,
Bogus kabisa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.

Lakini ni Lazima Mfahamu ya Kuwa kuna Mambo makubwa ,Mazito ya kuogofya ,Ya Siri yalifanywa au kudhamiliwa kufanywa au kukusudiwa kufanywa na baadhi ya watu kutaka Kupindua Matakwa ya Katiba yetu ili Mama yetu aliyekuwa Ni Makamu wa Rais Asiweze Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kama inavyoeleza Katiba yetu.

Hapa mnaweza kurejea kauli ,maneno na Mazungumzo ya Jenerali Venance Mabeyo Ambaye alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati huo. Ambapo Alisema kuwa Kuna watu walisahau matakwa ya katiba na katiba inasema nini baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani. Ambapo anasema na alisema ya kuwa yeye ndiye alifanya kazi ya kuwakumbusha hao watu matakwa ya Katiba.

Kitu nachopenda kuwaambieni ni kuwa hii ni kauli nzito sana kutoka kwa mtu na kiongozi mzito sana ambayo aliitamka kiuongozi. Hapa kwa lugha nyingine waweza kusema kuwa kuna watu au kikundi cha watu kwa sababu zao na maslahi yao walitaka kupindua matakwa ya katiba ili waweke au kusimika mtu wao katika kiti cha Urais baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kinyume kabisa na matakwa ya katiba yetu.

Kwa hiyo siyo kwamba walikuwa wamejisahau au walikuwa ni wajinga wa sheria na katiba au kwamba walikuwa hawajui katiba inataka nini kifanyike. Walikuwa wanajua kila kitu ila kwa uroho na uchu wa madaraka walitaka wafanye kitendo hicho cha hatari ambacho pengine kingeweza kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwa kusababisha machafuko na mgawanyiko ndani ya Taifa letu.

Kwa sababu ni lazima kungezaliwa kambi na mgawanyiko mkubwa sana kuanzia Majeshini ,uongozini hadi uraiani ambapo wengi wangekuwa upande wa katiba yetu kutaka katiba iheshimiwe na kufuatwa kwa Mama Samia kuapishwa kuwa Rais wa NCHI yetu. Hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza General Mabeyo kwa Ujasiri na uzalendo wake uliotukuka kabisa wa kusimama imara kulinda katiba yetu kama kiapo chake kinavyo Muelekeza.

Hivyo basi kushindwa kwa jaribio hilo la watu hao la kutaka Kupindua matakwa ya katiba yetu. Bila shaka liliwaumiza,kuwakwaza ,kuwasononesha ,kuwachukiza na kuwaacha na hasira kubwa sana vifuani pao watu au kikundi hicho kilichotaka kufanya jambo hilo la hatari kwa usalama wetu wa Taifa. Hali ambayo bila shaka iliwaacha na kitu kimoja pekee mikononi na vifuani pao. Ambalo ni Dua na Maombi mabaya kwa utawala wa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Bila shaka waliendelea kuomba Rais wetu ashindwe kuongoza Nchi ,utawala wake uwe wa misukosuko,majanga majanga ,kuchukiwa na wananchi ,vurugu na maandamano ya hapa na pale na mambo mengine mbalimbali mabaya mabaya. Lakini kwa sababu uongozi unatoka kwa Mungu,na kwa kuwa Mungu ndiye hutoa kibali cha uongozi kwa mtu ikawa tofauti sana na matarajio ya hawa watu na hicho kikundi Chenye chuki binafsi kwa Rais wetu.

Chuki zinazoweza kuwa zilichochewa na ubaguzi kwa Misingi ya Ukabila ,Udini ,Ukanda au jinsia yake Rais wetu. Sasa kitendo cha kuona Rais wetu akiongoza Nchi vizuri kwa amani na utulivu huku kukiwa kumetamalaki umoja na mshikamano hapa Nchini bila shaka lilikuwa ni pigo baya kwa watu hao wenye chuki binafsi.

Kitendo pia cha CCM kupitia Mkutano Mkuu wake kuamua kumpitisha Mapema kabisa Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao nalo linaweza kuwa ilikuwa ni msumari wa moto katika kidonda kibichi . Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti kwa niaba ya kundi na watu hao kutaka na kujaribu kumchafua Rais Samia katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu.

Hii ni katika kusukuma kete taratibu ili kumdhoofisha ,kumvuruga ,kumpanikisha,kumhamisha kiajenda Rais wetu na kumfanya akose amani na utulivu wa kuongoza Nchi yetu, na hivyo kutimiza azima na malengo yao ya tangia 2021 ya kutotaka Rais Samia awe Rais wetu kwa sababu za kijinga na zilizojaa ubaguzi na chuki binafsi tu zenye kuchochewa na uchu na uroho wa madaraka.

Kwa hiyo Askofu GWAJIMA ni anaweza kuwa kama mtu aliyetangulizwa mbele tu na kupewa jukumu la kumchafua kwa nguvu zote Rais Samia na uongozi wake. Hasa baada ya kutambua ya kuwa RAIS Samia anapendwa, kukubalika ,kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote. Ndio maana unaona Askofu Gwajima alijielekeza katika kumshambulia na kuelekeza mashabulizi kwa taasisi ya Rais na Urais ,kwa sababu ndio lengo kuu la ajenda zilizo nyuma ya pazia kutaka kummaliza Kisiasa Rais wetu.

Hata hivyo Askofu Gwajima hataweza kufanikisha ajenda zake za kumchafua Rais wetu. Hataweza kumdhoofisha Mama yetu,hataweza kumshusha Jemedari wetu,hataweza kwa namna yoyote ile na kwa mbinu ya aina yoyote ile kuchafua taswira nzuri ya Rais wetu mbele ya watanzania. Najua atafanya kila mbinu na kuzungumza kila uzushi na uongo kwa lengo la kutaka kumchonganisha Rais Samia na wananchi ili achukiwe yeye binafsi na uongozi wake lakini kamwe na katu hataweza kufanikiwa. Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa letu mpaka 2030 Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu kwa Uweza na msaada wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe aliye mtoa njia na maarifa.

Rais Samia aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hawezi kamwe kushushwa kwa Mkono wa Mwanadamu mwenye chuki zake Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuto KUPENDA ukweli ndio kunako ponza CCM.

Ukweli una tabia moja huwa unachoma na huwa unajitetea wenyewe hauitaji kutetewa.
 
Ukiwa mchafu tegemea tu ipo siku utachafuliwa huwezi mchafua mtu msafi
 
acha zako bhana sisi sio ndugu zako tungekuwa ndugu zenu mungekuwa na uchungu na tunayopitia,kuteka mteke,muue na kulawiti ninyi afu mdai c ndugu zenu kivipi?
 
Naona umekimbia ule uzi wako uliodai ni uchambuzi kumjibu Gwajima wenye dislikes 40 .

Sasa umejificha katika chaka la Samia kuchafuliwa.

Hivi mtu anayesema kifo ni kifo huyo kajichafua au kachafuliwa?

Mbona hukemei wabunge uchwara wenu wanaoita watu "KENGE WA NDANI" kisa wanamkosoa Samia?

Mbona hukemei wabunge uchwara wanaosema bora Martha Karua angebakwa na Bony Mwangi angerudishwa kwao akiwa anategemea mitungi ya oxygen kuokoa uhai wake.

Hayo huyaoni wewe ?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.

Lakini ni Lazima Mfahamu ya Kuwa kuna Mambo makubwa ,Mazito ya kuogofya ,Ya Siri yalifanywa au kudhamiliwa kufanywa au kukusudiwa kufanywa na baadhi ya watu kutaka Kupindua Matakwa ya Katiba yetu ili Mama yetu aliyekuwa Ni Makamu wa Rais Asiweze Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kama inavyoeleza Katiba yetu.

Hapa mnaweza kurejea kauli ,maneno na Mazungumzo ya Jenerali Venance Mabeyo Ambaye alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati huo. Ambapo Alisema kuwa Kuna watu walisahau matakwa ya katiba na katiba inasema nini baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani. Ambapo anasema na alisema ya kuwa yeye ndiye alifanya kazi ya kuwakumbusha hao watu matakwa ya Katiba.

Kitu nachopenda kuwaambieni ni kuwa hii ni kauli nzito sana kutoka kwa mtu na kiongozi mzito sana ambayo aliitamka kiuongozi. Hapa kwa lugha nyingine waweza kusema kuwa kuna watu au kikundi cha watu kwa sababu zao na maslahi yao walitaka kupindua matakwa ya katiba ili waweke au kusimika mtu wao katika kiti cha Urais baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli kinyume kabisa na matakwa ya katiba yetu.

Kwa hiyo siyo kwamba walikuwa wamejisahau au walikuwa ni wajinga wa sheria na katiba au kwamba walikuwa hawajui katiba inataka nini kifanyike. Walikuwa wanajua kila kitu ila kwa uroho na uchu wa madaraka walitaka wafanye kitendo hicho cha hatari ambacho pengine kingeweza kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwa kusababisha machafuko na mgawanyiko ndani ya Taifa letu.

Kwa sababu ni lazima kungezaliwa kambi na mgawanyiko mkubwa sana kuanzia Majeshini ,uongozini hadi uraiani ambapo wengi wangekuwa upande wa katiba yetu kutaka katiba iheshimiwe na kufuatwa kwa Mama Samia kuapishwa kuwa Rais wa NCHI yetu. Hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza General Mabeyo kwa Ujasiri na uzalendo wake uliotukuka kabisa wa kusimama imara kulinda katiba yetu kama kiapo chake kinavyo Muelekeza.

Hivyo basi kushindwa kwa jaribio hilo la watu hao la kutaka Kupindua matakwa ya katiba yetu. Bila shaka liliwaumiza,kuwakwaza ,kuwasononesha ,kuwachukiza na kuwaacha na hasira kubwa sana vifuani pao watu au kikundi hicho kilichotaka kufanya jambo hilo la hatari kwa usalama wetu wa Taifa. Hali ambayo bila shaka iliwaacha na kitu kimoja pekee mikononi na vifuani pao. Ambalo ni Dua na Maombi mabaya kwa utawala wa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Bila shaka waliendelea kuomba Rais wetu ashindwe kuongoza Nchi ,utawala wake uwe wa misukosuko,majanga majanga ,kuchukiwa na wananchi ,vurugu na maandamano ya hapa na pale na mambo mengine mbalimbali mabaya mabaya. Lakini kwa sababu uongozi unatoka kwa Mungu,na kwa kuwa Mungu ndiye hutoa kibali cha uongozi kwa mtu ikawa tofauti sana na matarajio ya hawa watu na hicho kikundi Chenye chuki binafsi kwa Rais wetu.

Chuki zinazoweza kuwa zilichochewa na ubaguzi kwa Misingi ya Ukabila ,Udini ,Ukanda au jinsia yake Rais wetu. Sasa kitendo cha kuona Rais wetu akiongoza Nchi vizuri kwa amani na utulivu huku kukiwa kumetamalaki umoja na mshikamano hapa Nchini bila shaka lilikuwa ni pigo baya kwa watu hao wenye chuki binafsi.

Kitendo pia cha CCM kupitia Mkutano Mkuu wake kuamua kumpitisha Mapema kabisa Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao nalo linaweza kuwa ilikuwa ni msumari wa moto katika kidonda kibichi . Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti kwa niaba ya kundi na watu hao kutaka na kujaribu kumchafua Rais Samia katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu.

Hii ni katika kusukuma kete taratibu ili kumdhoofisha ,kumvuruga ,kumpanikisha,kumhamisha kiajenda Rais wetu na kumfanya akose amani na utulivu wa kuongoza Nchi yetu, na hivyo kutimiza azima na malengo yao ya tangia 2021 ya kutotaka Rais Samia awe Rais wetu kwa sababu za kijinga na zilizojaa ubaguzi na chuki binafsi tu zenye kuchochewa na uchu na uroho wa madaraka.

Kwa hiyo Askofu GWAJIMA ni anaweza kuwa kama mtu aliyetangulizwa mbele tu na kupewa jukumu la kumchafua kwa nguvu zote Rais Samia na uongozi wake. Hasa baada ya kutambua ya kuwa RAIS Samia anapendwa, kukubalika ,kuaminika na kuungwa mkono na watanzania wote. Ndio maana unaona Askofu Gwajima alijielekeza katika kumshambulia na kuelekeza mashabulizi kwa taasisi ya Rais na Urais ,kwa sababu ndio lengo kuu la ajenda zilizo nyuma ya pazia kutaka kummaliza Kisiasa Rais wetu.

Hata hivyo Askofu Gwajima hataweza kufanikisha ajenda zake za kumchafua Rais wetu. Hataweza kumdhoofisha Mama yetu,hataweza kumshusha Jemedari wetu,hataweza kwa namna yoyote ile na kwa mbinu ya aina yoyote ile kuchafua taswira nzuri ya Rais wetu mbele ya watanzania. Najua atafanya kila mbinu na kuzungumza kila uzushi na uongo kwa lengo la kutaka kumchonganisha Rais Samia na wananchi ili achukiwe yeye binafsi na uongozi wake lakini kamwe na katu hataweza kufanikiwa. Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa letu mpaka 2030 Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu kwa Uweza na msaada wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe aliye mtoa njia na maarifa.

Rais Samia aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hawezi kamwe kushushwa kwa Mkono wa Mwanadamu mwenye chuki zake Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jibu hoja za Gwajima. Why attack the messenger. Machawa wengi hawana chochote kichwani.
Nimesoma thread zako nyingi zote ni zero content.
Kwa nini ujidhalilishe bro. Vipande 30 vya fedha?
 
kuchamba kwingi utachezea mafi yako!
 
Hivyo basi kuna uwezekano Askofu Gwajima akawa anatumika na kutumiwa kama kipaza Sauti
Utekaji upo au haupo?? Mamlaka makubwa ya Rais huyaoni?? Unaonaje akapunguziwa nguvu?? Kwa akili ya kuvukia barabara huoni kuwa Gwajima ameongea kizalendo huku wewe ukionekana kama chawa??
 
Gwajima kaongea kwa kutumika na kutumiwa tu
 
Back
Top Bottom