SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #121
Si bure kuna viongozi ni mamluki pale wanafanyia kazi upande wa pili nia ni kuwakimbiza wote wenye nia au uwezo wa kweli kuisaidia Simba wabaki wale waliopo kimaslahi tu. Mwakani Hersi anamchukua huyo Kramo. Utasikia wanahangaikia kumpata Kibabage ambaye hata Yanga wenyewe mnamuona hatoshi, huku wanashindwa kumshawishi Yahya Mbegu wakati amekulia pale pale Simba!Hahahahaha..mkuu mimi toka mumdhulumu yule agent ,rafiki yangu hela yake sina hamu na hiyo timu yenu ...huyu Kramo anapata timu hapa hapa bongo