Kuna uwezekano mkubwa Hamas ni kundi maalum la Israel lenye lengo la kutimiza Mipango ya Wazayuni hapo Palestina

Sasa kwani huji HAMAS ilianzishwa kwa support ya Mossad?
Hujui kuwa Netanyahu huwa anaifinance HAMAS?, Netanyahu alikiri
Lengo ni kuondoa umoja wa Wapalestina ktk kudai state yao

Sasa hivi lugha imebadilika. Tuache kudanganya watu. Hamas ilikuwa tawi la Muslim brotherhood ya Misri na muanzilishi wake sheikh Yassin alitumia nguvu Kama njia ya kulipata taifa la Palestina.
 
Sasa hivi lugha imebadilika. Tuache kudanganya watu. Hamas ilikuwa tawi la Muslim brotherhood ya Misri na muanzilishi wake sheikh Yassin alitumia nguvu Kama njia ya kulipata taifa la Palestina.
Inaelekea unadhani kuwa Inteliligence services zinafanya mambo kama Zuchu.

Mashirika ya kijasusi yanafanya jambo ili wewe uamini kuwa jambo hilo ni X lakini kumbe wao wanamaanisha Y

Hebu soma hili Gazeti la Waisrael uone wanasemaje.
 
Kwahiyo mtu anakulipa umuue ndugu yako ili yeye achukue ardhi yako na wewe unakubali? Inabidi uwe zwazwa kiwango cha SGR kukubali kumuua ndugu yako kwa faidi ya adui yako. Hii notion inawachafua zaidi HAMAS na makundi yote ya kigaidi kuliko kuwatetea.
 
Kasome kwanza historia ya Hamas. Tusilazimishe uongo ukawa kweli. Lazima ujue Gaza ilikuwa Chini ya Misri kabla ya vita ya 1967. Lakini baada ya Misri kuchapwa , Gaza ikawa Chini ya Israel. Kwa hivyo Muslim brotherhood maadui wa Israel na wahusika wa mauaji ya Anwar Sadat wakaanzisha tawi lao hapo Gaza Chini ya sheikh Yassin, ambaye baadae akabadilishwa Hilo tawi kuwa Hamas.
 
Kwenye siasa hilo ni jambo dogo. Waulize wanasiasa watakuambia.
Kuua ndugu zako 10 au elfu kumi ili kuokoa mamilioni ya ndugu zako ni jambo la kawaida sana kwenye siasa
 
Kwenye siasa hilo ni jambo dogo. Waulize wanasiasa watakuambia.
Kuua ndugu zako 10 au elfu kumi ili kuokoa mamilioni ya ndugu zako ni jambo la kawaida sana kwenye siasa

Hamas anaua ndugu zake ili aokoe mamilion, doesn't make any sense.

My point is, kama HAMAS anatumika ni anatumika kwa faida ya nani? Yani wakubali kupoteza kizazi chao kwa faida ya Israel?
 
Hamas anaua ndugu zake ili aokoe mamilion, doesn't make any sense.

My point is, kama HAMAS anatumika ni anatumika kwa faida ya nani? Yani wakubali kupoteza kizazi chao kwa faida ya Israel?

Tangu Hamas imeundwa na harakati zake ni lini imefikia malengo?
Zaidi ya harakati zao kuwanufaisha Wazayuni.
Mimi siamini kama Hamas, waarabu ni wajinga kwa kiwango hicho.
 
Eti kundi la Israel msije badaye kusema Hamasi ni wajukuu wa Natanyahau πŸ˜„ lini mtatoa again jipya vichaa kweli nyie

Sasa Kama wanasaidia Israel kufikia malengo yao unataka sisi tusemeje?

Maana kufikia mwisho wa mwezi huu sio ajabu Gaza yote ikawa chini ya Wazayuni
 
Sasa kama notes zafichwa ili kuchafuliwa wao si wazi one she ili kujisafisha utawala kharam wa israhell kwao kuua ni jambo la kawaida sana hasa kuua kina mama na wa toto wasio na hatia
 
Great thinker ndio wataweza kuunga dotz na kukuelewa usemacho..
Na kwa kuongeza tu ndio maana hutosikia hata siku moja ISIS ikiisapoti Hamas na kinachoendelea inaelezwa wengi wanaouawa ni raia wa palestine na sio wanamgambo maana wao huchokoza kisha hujificha walikojificha....

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…