Kuna uwezekano mkubwa Hamas ni kundi maalum la Israel lenye lengo la kutimiza Mipango ya Wazayuni hapo Palestina

Mnatuambia kuwa akina Netanyahu ni Wayahudi fake.
Kitabu chenu(Qur'an) kitakatifu kinasema" Kiyama hakitakuja hadi Pale Waislamu watakapowapiga Wayahudi na hadi Mawe yatasema"huyu hapa myahudi, njoo umuue".

Unabii Uishi na lazima Utimie. So, Mimi Coconut head nataka kujua, ikiwa hawa Wayahudi waliopo hapo Mashariki ya kati ni fake, kuna haja ya kutegemee siku za mwisho kuibuka kwa Wayahudi Original ambao watapigwa na waislamu ili kutimiza Unabii wa Kitabu Chenu?.
Kwamba mwisho ukikaribia, kuna wayahudi Org( sijui ni wamakonde, waigbo, etc) watajitokeza nakujitangaza kuwa wao ni Wayahudi na kuanza kuuawa na waislamu ili kutimiza Unabii huu wa Qur'an.

FaizaFoxy ,zitto junior Missile of the Nation
 

Attachments

  • Screenshot_20231106-101727-edit-20231109194516.jpg
    80.1 KB · Views: 5
Israel inakuzwa sana ila mataifa ya magharibi na America yakiondoa mkono wake apo inafutwa kwenye ramani ya dunia .
 
Jiulize nani alianzisha hicho kikundi
 
Mkuu niliwai kutaka kuandika Uzi kuhusu hii vita,inadalili za movie flani ya kihindi.

Kunakila dalili Hammas ni kundi la Israel kwa ajili ya kutafuta chokochoko Gaza ili watu wapate sababu ya kukamata maeneo(expansionism)

Ila kwa kua Ile dini yetu inaamini Kila anaetaja Allah akbal ni WA kwetu,wanaingizwa mkenge
 
Israel inakuzwa sana ila mataifa ya magharibi na America yakiondoa mkono wake apo inafutwa kwenye ramani ya dunia .

Hujui usa ni israel na israel ni usa. Sasa sijui huko unakokusema kutatimia lini.
 
Ushahidi wa 90% umeutoa wapi?

No research, no right to speak!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…