Kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni Powercef (Ceftriaxone) ikashindwa kutibu kabisa kutokana na drug resistance

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Hii dawa ya poweref (Ceftriaxone) kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni ikashindwa kufanya kazi.

Hii dawa ni strong antibiotic yani ni kali sana na mara nyingi hutumika dawa zingine (first line drugs) zikishindwa kuleta matokeo mazuri mfano kwenye P.I.D , Cefixime ikishindwa kuleta matokeo tunaingia kwenye second line drug ambapo ndipo Ceftriaxone hutolewa.

Sasa sikuhizi hizi Ceftriaxone inatolewa kiholela sana , yani mtu akipata shida kidogo wanamchapa na Ceftriaxone, tena utakuta muda mwingine mtu tatizo lake la kiafya sio complicated anahitaji tu dawa ambayo haina nguvu sana lakini utakuta anachapwa na Ceftriaxone.

Sasa huko mbeleni hii dawa haitakuja kutoa matokeo mazuri maana inatumika kiholela mno.

Watu waache janja janja kwa tamaa za pesa , utakuta mtu ana Ki UTI ambacho ni uncomplicated anahitaji tu nitrofurantoin ila akikutana na mtu janja janja atachapwa na sindano za Ceftriaxone ili tu huyo mtu aingize pesa.

Sindano moja inafika kuanzia elfu 5 -elfu 20 kulingana na aina ya Ceftriaxone na mtu huyu dose yake ikamilike anahitajika achome kwa siku 5 mfululizo lakini kama muongozo ungefuatwa angepewa tu vidonge vya nitrofurantoin au hata amoxyclav na asingetumia zaidi ya elfu 10 kutibu tatizo lake.

Watoa huduma za afya kuweni na huruma na afya za watu .

Tena wengine wanaitoa hii Ceftriaxone mpaka kwa vitoto vidogo kabisa kitu ambacho ni hatari sana.
 
ok. :1Head:
 
Kuna mtu aliambiwa ana UTI akaenda duka la dawa wakamwambia watamchoma Ceft siku tano.
aliponiambia nikamwambia hapana nenda kanunue vidonge vya Nitrofurantoin.
Karudi dukani yule mpuuzi anamwambia eti hivyo vidonge ni vikali sana. Choma tuu sindano.

Watu siku hizi wanaangalia pesa sana.
Ethics ni sifuri.
 
Ni ile hali ambapo microorganism anaidhibiti dawa ,hivyo anaweza kuendelea kuishi na kuzaliana licha ya hiyo dawa kutolewa ambapo kikawaida ingemuua au kumdhibiti asizaliane.
Umenena vyema mkuu japo cha kuongezea ni kwamba hao bacteria wa UTI huwa na stage of multiplication kwaiyo ni vema mgonjwa akapima kwanza ili kujua whether ni severe au chronic ili kuanza na primary antibiotics
 
Kuna mtu aliambiwa ana UTI akaenda duka la dawa wakamwambia watamchoma Ceft siku tano.
aliponiambia nikamwambia hapana nenda kanunue vidonge vya Nitrofurantoin.
Karudi dukani yule mpuuzi anamwambia eti hivyo vidonge ni vikali sana. Choma tuu sindano.

Watu siku hizi wanaangalia pesa sana.
Ethics ni sifuri.
Tamaa ya pesa, kukosa utu , kutibu kwa kubahatisha.
 
Umenena vyema mkuu japo cha kuongezea ni kwamba hao bacteria wa UTI huwa na stage of multiplication kwaiyo ni vema mgonjwa akapima kwanza ili kujua whether ni severe au chronic ili kuanza na primary antibiotics
Severity mara nyingi kupitia clinical features ,physical examinations au hata muda mwingine kile ki urine dipstick kitakuonesha.

Mfano kwa UTI iliyofika kwenye figo , ukimgonga gonga sehemu iliyopo mgongoni kati ya mbavu ya mwisho na vertebral column, upande wa kulia au kushoto mgonjwa akihisi maumivu (costovertebral angle (CVA) tenderness) utagundua hii UTI si ya kawaida ipo severe sana .
 
Ahsante Dr
 
Hance Mtanashati ungefungua uzi mahususi wa dawa ingesaidia wengi maana wengi hatuna knowledge ya madawa kama hapo nimekuja kukupata kwenye reply
 
Kuna uzi maalumu kuhusu madawa.

Upo jukwaa la afya na huo uzi umewekewa sticky kabisa.

Chai, Hance Mtanashati aisee umeandika point tupu yaani mtu anakupatia madawa ili tu auze wanatuumiza sana.
Ukosefu wa utu ,tamaa ya pesa na kutibu kwa kubahatisha.

Jinsi inavyotumika kiholela , bacteria watatengeneza usugu hivyo huko mbeleni hii dawa haita fua dafu na mbaya zaidi hauwezi tena kurudi tena kwenye first line drugs.
 
Back
Top Bottom