Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Happy New year Wakuu!

Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua.

Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua anatumika.

Mpaka uchaguzi Mkuu nitahitimisha na Kupata majawabu.

Je Lisu amegundua kuwa kuna watu walimtumia kwa Maslahi Yao badala ya kile alichoamini mwenyewe?

Jioni Njema
 
lisu anajuta sana why alimtukana jpm saivi anatamani kurud CCM ila wakina ngosha hawawezzi kumuelewa.

atapiga tarumbetaa weee dakika zanjionii
ataishia Act wazalendo then atafunga mdomo
 
Mwenyekiti akibanwa kende, atasimulia kila kitu

Una aidia nzuri mkuu, naungana na wewe kwenye hilo, nimekuwa na mashaka makubwa mno huu mwendelezo wa vifo na utekaji wa viongozi wa Chama chetu namna ya mazingira yao,

Utakuta huyu, whether alikuwa na siri fulani ya chama, mara ghafla anatekwa na ama kupotezwa, tunaahidiwa uchunguzi na hauji na majibu yoyote

Mwenyekiti ni usalama wa Taifa?
 
lisu anajuta sana why alimtukana jpm saivi anatamani kurud CCM ila wakina ngosha hawawezzi kumuelewa.

atapiga tarumbetaa weee dakika zanjionii
ataishia Act wazalendo then atafunga mdomo
Wapi na lini Lissu alimtukana Magufuli? Wapumbavu kukosoa mnaita kutukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…