Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Happy New year Wakuu!
Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua.
Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua anatumika.
Mpaka uchaguzi Mkuu nitahitimisha na Kupata majawabu.
Je Lisu amegundua kuwa kuna watu walimtumia kwa Maslahi Yao badala ya kile alichoamini mwenyewe?
Jioni Njema