Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253

Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
 
Attachments

  • IEBC’s_mathematical_errors(240p).mp4
    11.6 MB
Huku kwetu tuna "state capture"nchi ipo captured na kikundi kidogo Cha majambazi,kamati kuu ya ccm/nec,Hawa ndio wanaamua nini kifanyike,wengine huku chini,mawaziri,Ma DED,ma RC,DC,wabunge wote ni machawa tu,wanaangalia upepo unakwendaje,
Sasa mtu anaandaa tamasha kuhamasisha sensa,harafu anawaonyesha wananchi filamu ya royal tour!Ili iweje vitu viwili tofauti ,haviendani,havina uhusiano,yaani ni uchawa mtupu.
 
Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.

Mkuu naomba kuelimishwa. Mahakama ikifuta ushindi wa Ruto uchaguz utarudiwa? Na ukirudiwa SI itakuwa ghali hela watatoa wapi wakati hata unga tu wa mahindi wakenya wengi hawawezi kununua Hadi serikali iwapige tafu.
 
Ongeza sauti,unasemaaaaaaaaaaa?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom